Wahuni wengi hawana kadi za kupiga kura saiz tunondoka na Dr. Tulia
 
Wahuni wengi hawana kadi za kupiga kura saiz tunondoka na Dr. Tulia
Mkuu mimi Mbeya mjini ni mwenyeji, hicho unachosema hakiakisi picha halisi ya Mbeya mjini. Angalia kura alizopata Sugu 2015 alafu ndo useme wahuni wengi hawana kadi za kupigia kura. Nilishauri Tulia angegombea kwao Rungwe (kwa Mh Sauli) pengine ingekuwa rahisi zaidi kwake. Tusubiri uchaguzi mkuu.
 
Jaman mwenye matokeo ya Namtumbo aweke hapa dada yangu yupo kinyang'anyironi
 

Marandi anatokea Busurwa, Prof. Mbusiro Monyo- Rwang'enyi, Fadhili Maganya- Gabimori . Huyu Jafari na Genga wanatokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…