Litakuwa jambo jema ila kwa sisi wazaliwa wa huko tunabet ushindi kwa hecheWaitara atashinda kihalali kabisa
Hili litakuwa jimbo moja wapo ambapo kamati kuu itapindua matokeo.KALIUA TOWN
01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0
WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209
(3)KILATU DENIS LONGINO 71
Asante!Nasikia shilingi laki moja.
Vipi wewe mbona huweki ya babu Tale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ulikuwa unasumbuka sana kutaka kujua matokeo yake.
Kwani wanaokwenda kupiga kura October, 2020 Jimbo la Tarime vijini wamezaliwa wapi?Litakuwa jambo jema ila kwa sisi wazaliwa wa huko tunabet ushindi kwa heche
Mwanyika kashindaNjombe mjini vipi?
Kajitahidi sana.MwanaFa ingawa kashindwa Muheza lakini kapata kura 296. Kajitaidi ukilinganisha na wengine!!
Yote yanawezekana mimi ninachoshukuru keki ya taifa tunagawana sio kila siku ccm, sugu hata akikosa ubunge ataishi maisha mazuri sio sawa kama anekosa ubunge maisha yoteHapa tunazungumzia uchaguzi wa 2020, tarehe 29/10/2020 tunaweza tukawa tunacheka au kulia hapa.
Huyo naskia katanguliza mke sijui ni kweli, ila kwa mimi muislam sipaswi kuamini hayo mamboVipi wewe mbona huweki ya babu Tale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ulikuwa unasumbuka sana kutaka kujua matokeo yake.
Patamu hapooKangi Lugola 173
Charles Kajege 173
Kuna wakati huwa ninaamini, kuna nati zimelegea kichwani mwa wajumbe wengi wa CCM. Kama sio utaahira basi ukichakaa umejaa vichwani.wazee wamechachamaa kura za maoni kuongoza
George mkuchika alizaliwa 1948 ana miaka 72 anataka apewe nafasi ya ubunge
Profesa Kapuya alizaliwa 1945 ana miaka 75 anataka apewe nafasi ya ubunge
Anyway lakini wazee wetu nao vizuri kukubali kupumzika umri umeenda sana wataenda kusinzia tu bungeni
Namfaham sn tu,nimesoma nae O level!alichaguliwa u Ded Yaan ila kasoma pia mrembo atapata kazi tu kwingine
MC pilipili hajaambulia hata kura moja.Waliodondokea pua jana na leo Updates
Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
*
*
Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Sipirian Musiba Chalii Mwibara
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii
Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Silinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini
Mtolea Temeke Chalii
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii
Bado sijapata ya
Mc Pilipili
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatoboi waitara,tupo hapaNi kweli mkuu ila bado ana advantage dhidi ya Waitara, kwani pia ule upepo wa kisiasa uliombeba 2015 haupo tena ila Waitara kutoboa bado ni mtihani. October si mbali sana tuombe uhai tu.