Siasa za CCM Tanzania siyo ngumu. Ni kuangalia kila kata wajumbe wana mtizamo upi. Ikiwezekana wananunulika ama?
Mtu ambaye amesemwa ana tamaa na JPM, na amesaliti chama na Bashiru, halafu anunue watu? Kwa serikali ya JPM na takukuru na wanakuchukia halafu hela ikusaidie? Hata angeshinda kwa kununua kura, wangempiga chini kupitia Takukuru. Labda ashinde kihalali tu
 
Nasubiria gazeti reefuu la zama kujipa matumaini.

Steve ni kichekesho kingine anadhan ukaribu wake na wasanii utamsaidia kupata ubunge
Nilimwona wakati anajieleza eti ni mwanaharakati na kasaidia watu wengi. Sidhani hata kama anajua jimbo la kigamboni lina kata ngapi. Siasa ni field work,kujichimbia mizizi kata zote.
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Peter Serukamba alikuwa Mkristo na alishinda hilo Jimbo mara 2 kupitia CCM kabla ya kubadilishanana Zitto. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Vv
 
Watu wameanza muda mrefu,mtu anaanza kunua watu tangia 2015.Makonda hawezi kurupuka.
 
Jimbo la Peramiho vipi jamanii naomba matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…