Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
Kura tunahesabu hadharani hapa kila mtu anaona
watakuwa wamepindua meza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuwa wamepindua meza
Naomba kufahamu, Mnyeti ni mzaliwa wa misungwi?
Mtu ambaye amesemwa ana tamaa na JPM, na amesaliti chama na Bashiru, halafu anunue watu? Kwa serikali ya JPM na takukuru na wanakuchukia halafu hela ikusaidie? Hata angeshinda kwa kununua kura, wangempiga chini kupitia Takukuru. Labda ashinde kihalali tuSiasa za CCM Tanzania siyo ngumu. Ni kuangalia kila kata wajumbe wana mtizamo upi. Ikiwezekana wananunulika ama?
[emoji23]Mkuu kuwa na amani , labda hao wengine ila waitara akipata hata kura 15 basi atakuwa mwanamme ,"MASENARIES" wote hawatoboi.,,,Mtulia kashatulizwa bado "MESENARIES" wenzake.
Haha huyu bado taarifa zakeBabu Tale nae vipi?
Nilimwona wakati anajieleza eti ni mwanaharakati na kasaidia watu wengi. Sidhani hata kama anajua jimbo la kigamboni lina kata ngapi. Siasa ni field work,kujichimbia mizizi kata zote.Nasubiria gazeti reefuu la zama kujipa matumaini.
Steve ni kichekesho kingine anadhan ukaribu wake na wasanii utamsaidia kupata ubunge
Nani tena mkuudogo alijiamini akasahau hata kununua watu
MakondaNani tena mkuu
Peter Serukamba alikuwa Mkristo na alishinda hilo Jimbo mara 2 kupitia CCM kabla ya kubadilishanana Zitto. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Tulikuwa wajumbe 398 tu mkuu
😋😋 HellowWanasema
Teh teh teh....Hivi waliotia Nia Jimbo La Wanging’ombe Ni Akina Kuna Mbunge Wetu Mmoja Huyoo Ni Hovyooo Hatari
Watu wameanza muda mrefu,mtu anaanza kunua watu tangia 2015.Makonda hawezi kurupuka.Mtu ambaye amesemwa ana tamaa na JPM, na amesaliti chama na Bashiru, halafu anunue watu? Kwa serikali ya JPM na takukuru na wanakuchukia halafu hela ikusaidie? Hata angeshinda kwa kununua kura, wangempiga chini kupitia Takukuru. Labda ashinde kihalali tu
Mkuu tulia.. wana Kigamboni wana jukumu moja tuu la Kumpiga Nduli..Good news kwako ni ipi.? No news is good news!
Kwani kashindwa Mkuu wa mkoa wetu Mpendwa "aliyemaliza" muda wake?Makonda