Kapuuzi kweli kale,

Ndio hata humu huwa nasema kila siku kwamba wanaomshabikia Lisu mitandaoni siyo wanaopiga kura!

Kiufupi kura hazipatikani Twitter, insta, facebook na jf,
Chadema itawachukua miaka elfu kugundua hili
Halafu kauli zao unazijua? Eti Watanzania wanamuhitaji fulani, au Fulani anaungwa mkono na Watanzania wote, Wakati wapiga kura wanachora tu.
 
MKUUU VINGINE JOONGEZE
TTL KURA 549..(324+33+198)???
tuliosoma addition maths tusaidiane

Asante sana Mkuu, Asante sana Mwenyezi Mungu lakini Asante yangu Kubwa ni kwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Kigamboni. Nina Furaha!!!!!

Hahahaaaaa MENGI yanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…