Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipitie tafadhali, haifai kusheherekea peke yako hafla kubwa namna hii..!!
Nassari ana mke na watoto wa kuwalisha!Kina Nassari wamelenga teuzi Kama watakosa ubunge,
Huko ndipo kumebeba hatma ya Tanzania Kama wasiojulikana watabakia likizo mazima ama la.
Halafu kauli zao unazijua? Eti Watanzania wanamuhitaji fulani, au Fulani anaungwa mkono na Watanzania wote, Wakati wapiga kura wanachora tu.Kapuuzi kweli kale,
Ndio hata humu huwa nasema kila siku kwamba wanaomshabikia Lisu mitandaoni siyo wanaopiga kura!
Kiufupi kura hazipatikani Twitter, insta, facebook na jf,
Chadema itawachukua miaka elfu kugundua hili
Basi nilishahau kwenda pia.Kwani hauko kwenye kikao cha mchujo sasa? Si utakuwa Jimboni tu hata kama umelisahahu.
Genta ndg yangu, sisi wanakigamboni leo tutakuwa na mkesha hapa jembe ni jembe. Hakuna kulalaKamati ya Roho mbaya tukutane tuanze kuchangisha ....hatuna shughuli ndogo mimi natoa vinywaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Mkuu, Asante sana Mwenyezi Mungu lakini Asante yangu Kubwa ni kwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Kigamboni. Nina Furaha!!!!!
Fuatilia live kura zinahesabiwaMbona wanasema Makonda kaanguka jaman
Kafulila ameshinda Kigoma kusini!Kisiasa ndo washapotea awarudi tena ,cheki kina kafulila
Genta ndg yangu, sisi wanakigamboni leo tutakuwa na mkesha hapa jembe ni jembe. Hakuna kulala
KachachuuuTulia ackson akiwa na mzigo wake wa kura, sugu jiandaeView attachment 1511770
Apigweeeee!!Machoo kwenye stage....bango ni kubwa channel 10. Apigwe nduli...
yaani kapigwa kwa 60%[emoji23][emoji23]40%kagawana na akina mpoki