Arusha natamani apite apite Calist ama Gambo
 
Pia majimbo ya Iringa, Tunduma, Momba, Hai, Moshi Mjini, Vunjo
 
Bajameni, lile la Kawe nani atalizuia? πŸ˜…
... shendeke'pasata ...!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
NITAWASHANGAA WALE WATANI ZANGU WA KILOLO HUKO IRINGA WAKIUCHAGUA UKOO WA WEZI WA FEDHA NA MALI ZA CHUO KIKUU CHA IRINGA, ZAMANI TUMAINI UNIVERSITY. KITAKUWA NI KITUKO CHA MWAKA. NASIKIA SASA HIVI WAUMINI WANACHANGISHWA KUFIDIA WIZI ULIOFANYWA NA HUO UKOO WA WAGOMBEA UBUNGE KILOLO. KUMBE WALIIBA ILI ZIWASAIDIE KUFANYA KAMPENI ZA UBUNGE!
 
Ubungo Prof Kitila hakubaliki?!


Sidhani Kama anakubalika kushinda Cypirian Mrema na Emmanuel Maluli. Kwa sababu Mrema ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo na Maluli Katibu hamasa kata ya Makuburi.

Makuburi ni kata maarufu na yenye ushawishi mkubwa Wilaya ya Ubungo.

Na hawa vijana Mrema na Maluli ni maarufu sana Ubungo kwa sababu wamekuwa wakifanya kazi za chama kwa karibu na wanachama wa CCM pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Ubungo ambao ndiyo wapiga kura.

Kitila kimsingi Ni mgeni katika siasa za Ubungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…