mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nape ana moyo sana.Sijui Nape mlamba soli Ila January alipoona ubatizo wa Moto alioutangaza babake kwa wapinzani alitangaza hatagombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ana moyo sana.Sijui Nape mlamba soli Ila January alipoona ubatizo wa Moto alioutangaza babake kwa wapinzani alitangaza hatagombea
Arusha natamani apite apite Calist ama GamboHaya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.
Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee endelea kukariri!
Naulizia upande wa ccm
Usimsahau Msando!Arusha natamani apite apite Calist ama Gambo
Ilemela na Nyamagana napo si haba!toka asubuhi nasikia nyimbo za ccm tu sasa sijui na hapa kwetu nyamagana wanafanya au vipi
Mtampa???😎😎😎😎Kachukua fomu na anagombea
Siasa inahitaji ngozi ngumu siyo kulialia kama LijualikaliNape ana moyo sana.
Sijui Nape mlamba soli Ila January alipoona ubatizo wa Moto alioutangaza babake kwa wapinzani alitangaza hatagombea
Bwashee endelea kukariri!
Jioni ya leo utupe mrejesho watu hawa kuwa ..wameokoka au?Natamani Gambo, Makonda, Gwajima, msando piga nje
Hapo kwa gwajima sawa ila hao wengine kupigwa chini sahauNatamani Gambo, Makonda, Gwajima, msando piga nje
Uyu ndugulile watamtosa ingawaje ndo anakubalika walimuanzia mbali uyu kumtaftia sababuMtifuano upo hapa:
-Makonda vs Ndugulile
-Mwanri vs Godwin Mollel
-Ole Milya vs Ole Sendeka
Zilishapita 2015Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Pia majimbo ya Iringa, Tunduma, Momba, Hai, Moshi Mjini, VunjoHaya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kura za maoni kwa wabunge wa tiketi ya CCM zinaanza kupigwa leo lakini watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali.
Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Maendeleo hayana vyama!
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, waumini wengine ni kama misukule tu, Eti, akisema panua na wao wanasema panua! Leo Gwajima anapanuaNgoja tumuone Gwajima anavyopanua huduma
Ubungo Prof Kitila hakubaliki?!