Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Tafakuri nzuri sana hiyo bwan mbatizaji[emoji16]
 
Jimbo la Bukombe geita
Dotto Biteko ameshinda kwa kura 555
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…