wala hata ndio kwanza wagombea wanatia sign bado hata hesabu
Hii kitaalam inaitwa "wrong calculation"Makonda kajitumbua, JPM hana lawama
Mpambano wa Gwajima ni kesho.wakuu gwajima vipi
Wamesema kwamba kura za maoni wamepiga kiutamaduni utamaduni.Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Mungu wangu huyu jamaniiiiiiiih huyu mam anazidi kutusua tyuuuuuuuh.Jenista kashinda kwa kura 848
Mshindi wa pili ana kura 3
Mollel Kesi yake ni tofauti na Mwambe; mwambe Alikaza hadi mwisho, Mollel Amehama kuunga Juhudi;Mollel nae alikuwa CCM kabla ya kwenda Chadema kisha kurudi CCM, Ila kaangukia pua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kweli mnamchukia prince.Nakemea hii roho..
Shindwaa saitaaani...
Kumbe PCM ndiyo hapendwi hivi!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamati ya roho mbaya huwa tupogo tu siku zoteNikiulizwa kisa cha moyo kunienda mbio hivii nitaambia nini watu??
Hio inaitwa fungulia mbwa yani survive of the fittestKweliii. Nilisemaga hapa Magu hataangalia mtu usoni. Safiii
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Walimshauri vibaya!Nakumbuka kabisa ambavyo mlinihakikishia kuwa Mtu anaenda ' Kumalizwa ' kwa namna ya Kipekee kabisa na hatoamini Macho na Masikio yake nikawa ' nawabishia ' hatimaye kile kile mmekifanya. Kwa Furaha Kubwa niliyonayo kwa Kazi yenu nzuri nashindwa Kuendelea Kuandika hapa ila naomba mkubali na mpokee hizi Zawadi za Wanyama Mbuzi Watano ili mkachinje mle huko Makwenu na Familia zenu.
Hata Ubebwe vipi, utumie Vitisho gani na utumie Pesa zako za Dhuluma ila Mwenyezi Mungu akisema NO huwa anamaanisha NO mazima hasa.
Yaaani.ila sio mbaya kwa mara ya kwanza Dr.Kimei kupata kura nyingi kiasi hiki.Wamarangu watu wa ovyo sana.. Yaani mnamuacha Kimei kweli?? Huyo Koola ndo nani?
Hizi mambo chit chat uko au mmu bwanaTeh!!...Haya bhana
Ila nimekumiss muno.
Aridhike!Wamarangu watu wa ovyo sana.. Yaani mnamuacha Kimei kweli?? Huyo Koola ndo nani?
Fala mkubwa, si ujibu kistaarabu unafikr kila mtu anajua kanuni za ccmKama sio mjumbe haruhusiwi kupiga kura
Mbona wa Tz tunakuwa wagumu sana kuelewa
Kimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..Vijijini kama hauna connection nao sahau hata kama una hela na mjini na nchi inakujua. Huko watu wanajitambua nini wanataka.