Kimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..

Ndio maana nataka nimjue pia huyo Koola ni nani??
Kujenga crdb huko kijijini sio ishu, ishu aliweka close connection na wakazi wa huko? Wamempiga chini wana sababu hao waliopiga kura za kulpitisha, kama amgepita hapa off course kwenye ubunge angepita.
 
Wahamiaji amambao walikuwa CCM, wakahamia Upinzani, Then wakarudi Tena CCM uhakika wa Kushinda unaweza kuwepo; Itategemea na Potential zao Mfano Cecil Mwambe
Hilo haliwezekani milele. Ukishaharibu, huwezi tena kutengeneza kwa siasa za sasa za CCM. Ni bandika bandua. Cecil Mwambe asahau kabisa ubunge. Akalime Korosho tu.
 
Kasulu mjini
Prof. Joyce Ndalichako 397
Daniel Nsanzugwanko 78
Za wengine nitaweka baadaye
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hannah njoo huku
 
Mbatia akishinda vunjo, nitaacha kupost hapa JF milele. Hana huo ubavu. Mwaka 2015 Mbatia alibebwa na nguvu ya CHADEMA kupitia UKAWA. Kwa sasa Mbatia ni sawa sawa na msaliti.
Umetoa maoni yako negative kwa uonavyo wewe.kwa point hiyo ya ukawa mbona basi pia kuna wabunge wengi hata wa Chadema watapigwa chini kwa sababu ukawa haipo tena.
 
Kwani nani ameshinda kigamboni?
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
 
Hapa sipiti bila kuweka signature iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo vya jf. Machozi ya watumishi watu wazima kbs waliotukanwa mbele ya halaiki kama watoto hayajaenda bure, HAKIKA WAKATI SI MILELE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…