Ila kumbuka kuna kukatwa na mkulu. Itategea ataamkaje siku hiyo. Mimi naona baki kwanza na mbuzi zako zizini. Utakuta aliyeshindwa kawa kidedea na aliyechaguliwa na wengi kawa chali. Hii ni Tz. bwana!!!Sijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!
Sina hakika ila nadhani Kama sio Mjumbe Huruhusiwi, ila kama ni Mjumbe unapiga kura.Nadhani hawaruhusiwi , siajaona wagombea wakipiga kura kote
Makonda haipukiki ndugu ngoja atangazwe afu ntakupa sababuNatamani Gambo, Makonda, Gwajima, msando piga nje
Woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooh makonda njeeeeeeeeeh
Hao Followers wa insta,Facebook na Twitter wanawadanganya!Wasanii mjifunze, hacheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Lakini nina hisi Kimei anaweza kupewa kwenye vikao vya Chama!Wamarangu watu wa ovyo sana.. Yaani mnamuacha Kimei kweli?? Huyo Koola ndo nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeePrince Makonda.
Kumbe hoja yako ni ukabila, akafie mbali huko!Aridhike wakati alienda hapo kimkakati.. Kimei alikuwa airudishe chaggaland kwenye maamuzi ya nchi hii.. Sasa huyo Koola unafikiri hata uenyekiti wa kamati atapewa??
Tatizo amegombea na mtu ambaye hatakiwi hata kwenye maoni. Hivyo imempa advantage ya kushinda. Mbona Kigamboni iko planned vizuri na Barabara zinajengwa sana? Ndiyo Wilaya itakuwa modern sana. Issue kubwa ilikuwa kumchinja jamaa. Kama ni kweli alihonga 1m akatoaj umla300m kama inavyosemekana basi ajue mtu anakula kwako choo anapeleka kwingine. Ni funzo kubwa mno kwake.Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Tumfahamu pia Koola. Ni nani yeye?Huyu kilichomponza alidandia siasa uzeeni akadhani umaarufu au hela vitambeba, anyway vimembeba kiasi Ila haijatosha
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea bhana hebu relaaaaaaaxYaan we unatupa presha tu huna lolote
Unajua Dr.Kimei sio mwanasiasa.sasa huwenda alizidiwa kete kidoogo.ila Magufuli aliahidi kumtumia kwa jinsi alivyomchapakazi hodari.Wamesahau hata ndio alikuwa anawajaza CRDB[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooh makonda njeeeeeeeeeh
Mbona huku kwa TV bado hawajatangazaWoyoooooooooooooooooooooooooooooooooooh makonda njeeeeeeeeeh