Ni kweli? Nisije nikaanza kushangilia kumbe si kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiipresha anayosababishia watu makonda akishinda apewe UPM kabisa aisee
 
Na wajumbe wa CCM wasirogwe wakawapitisha waunga juhudi watatumia nguvu kubwa sana kuwanadi. Wananchi hawana imani nao tena. Wenyewe walijidanganya kuwa wanapendwa na wananchi kumbe wananchi waliwapa kura wakati wakiwa upinzani kwasababu ya kuichukia tu ccm kipindi kile hivyo upinzani ukawa na nguvu. Hivyo kwasasa hakuna sababu ya kurudisha tena hao jamaa.
 

Tunaangalia ya Leo na si ya Kesho Mkuu kwani hata Wewe hapo ulipo hivi sasa hujui kama Kesho utaamka au ndiyo nitolee hiyo huko Mavumbini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…