Tunaosoma kwa imani ya kukuta Makonda rasmi chali.
 
Duh, GENTA hutaki mchezo kabisa kwenye swala hili. Mwenye namba yake ya simu anitumie ili nimtumie hii clip kwa WhatsApp awe anatazama na mkewe kama kumbukumbu ya kiburi chake.

View attachment 1511911

Wenye namba zao za Simu ( Members ) watakupa ili ' Uwalengeshe ' yawapate ya kuwapata ila kwa Mimi sikupi ng'o Mkuu kwani sitaki Kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…