Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
kweli?Kigamboni, Ndugulile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli?Kigamboni, Ndugulile
Mbona bado wanahesabu na matokeo bado sana?Sichinji Mbuzi Mkuu bali nimesema kwa Furaha Kubwa niliyonayo ' Nawazawadia ' Mbuzi Watano hawa ' Waandamizi ' wangu Watano Kigamboni.
Nimekurushia kule fuatilia mamiiNi kweli? Nisije nikaanza kushangilia kumbe si kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TupooTuliomuua Makonda kwenye mkeka tujuane hapa[emoji3][emoji38]
Ni vema ukaugulia maumivu ya kupigwa za uso na Ndugulile 😂😂Ukabila hauna nafasi Tanzania,labda kenye huko na Rwanda.
Yaaan weee acha tyuuuuh, nasubiri kuona hilo tokeo.Watangazee jamani
Ya hakika kabisa kutoka ndaniMmmmhhh...ya kweli haya mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makonda anakimbiza huu huzi mpaka basi.
Ongeza na zangu watano Mkuu.Sijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!
Mmeshachana mkeka bora mngemuuwa MwanryTupoooooooooh
Sema zungu naye kashazeekaHata mimi hichi kitu kimenishangaza sana
Duh, GENTA hutaki mchezo kabisa kwenye swala hili. Mwenye namba yake ya simu anitumie ili nimtumie hii clip kwa WhatsApp awe anatazama na mkewe kama kumbukumbu ya kiburi chake.
View attachment 1511911
We unasubiri hadi uone kwenye magazeti?Mbona watu wanasema matokeo bado?
Steve Mengere vipiMZEE WA RAMBIRAMBI KALA UMEME