Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwahiyo watu wanaona bora wakacoment kule kuliko kupoteza muda kwenye mivyama ya siasaHuku ule uzi wa kula tunda kimasihara ukiwa na comments maelfu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo watu wanaona bora wakacoment kule kuliko kupoteza muda kwenye mivyama ya siasaHuku ule uzi wa kula tunda kimasihara ukiwa na comments maelfu.
Walioko huko watupe picha Betty ya joto lilivyo, Mbeya, Kigamboni, Arusha, Misungwi nk japo mie nabashiri vinara kuwa nje ya tatu bora.
FakeYa kweli haya jaman?View attachment 1511774
Ahaaaaa Bashite kashaliwa tiyari. Zero form four ashindane na Medical of........ Ndugulile.
Sikujua kama Makonda ni maarufu kiasi hiki,!Kuhusu Kigamboni naomba mwenye matokeo ya uhakika awe anatujuza.
Ieleweke Kigamboni ndipo anapogombea aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na ambaye kwa namna moja ama nyingine aligusa watu wengi walio kubaliana naye na walio kuwa hawakubaliani naye.
Hivyo kwa mada hii naomba tujuzane kwa yanayojili huko Kigamboni.
[emoji23]Mollel ndo yule ana kichwa kama papai?
I mean, kiutendajiKwani magomeni sio kinondoni
Kwani kura za wanachama ndio final?
Subiri CCM wilaya zitatoa matokeo. Though intuition yangu inaniambia Bashite atashinda.Tupe yako yaukweli..🤗🤗🤗
Fomu ilichapishwa moja tu
Kapigwa Chini Mtulia. Tajiri Abas Tarimba kachukuaMtulia hali yake vipi jamani huko kino?
Hiyo ni mimi,akishindwa pia poa tu.Kwann unaamini atashinda?
Akishindwa je?
JESUS IS LORD[emoji120]
Acha uongo, hii ni ya 2015Jamani amkeni washaanza kupasuana huku.
Makonda Chali kabisa. Ndugulile kamuacha mbaaali