Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nakumbuka kabisa ambavyo mlinihakikishia kuwa Mtu anaenda ' Kumalizwa ' kwa namna ya Kipekee kabisa na hatoamini Macho na Masikio yake nikawa ' nawabishia ' hatimaye kile kile mmekifanya. Kwa Furaha Kubwa niliyonayo kwa Kazi yenu nzuri nashindwa Kuendelea Kuandika hapa ila naomba mkubali na mpokee hizi Zawadi za Wanyama Mbuzi Watano ili mkachinje mle huko Makwenu na Familia zenu.

Hata Ubebwe vipi, utumie Vitisho gani na utumie Pesa zako za Dhuluma ila Mwenyezi Mungu akisema NO huwa anamaanisha NO mazima hasa.
Katika Uchaguzi Huru na wa haki, hata Magu anapoteza Uchaguzi
 
Magufuli hawezi kumtosa Makonda, kuhusu tofauti ya kura ni kubwa sana, hata kama ingekuwa moja, Ndugulile anastahili kupewa hiyo nafasi.

Ila nikikumbuka Magufuli alivyomponda Ndugulile wakati akimtumbua u Naibu Waziri wa Afya, kuwa hospitali zake hazina dawa pamoja na cheo chake, bora Ndugulile asubiri tu kupewa cheo kingine.
 
#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.
Mungu amemlinda dhidi ya jammbazi
 
Anajua mengi sana ambayo dikteta hayuko tayari yaanikwe hadharani hivyo ni lazima acheze naye karibu au amnunue kwa pesa ndefu. Bashite anajua bila ajira na huu uchumi wa kati 😂😂 ni lazima atakufa njaa na hivyo kuanza kuuza ASSETS zake alizozipata KIHARAMU.

Cha msingi ameshindwa, na akimteua tutakua na uhakika kwamba anabebwa.

We mkuu wa mkoa kama kazi zako zilikua vizuri, utashindwaje kura za maoni..

Tangazo, nauza dawa na kukuza makalio[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom