martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,552
Huyu nae imetoshaaa
JESUS IS LORD[emoji120]
Hahahaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae imetoshaaa
JESUS IS LORD[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamati ya roho mbaya haitaki mchezo kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ingekua wana angalia nan ana followers wengi instagram.kajamaa kangewashinda wenzie[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1512001
Wanacccm tukishampitisna mgombea halafu cc wasithamimini chakuzi letu kazi ni moja tu .Baelezee
Ni muda muafaka sasa wa Warioba kurudisha makofi aliyopewa na bashite pale mkutanoni.Bashite kilichobaki ni kwenda kuomba kibarua WCB, maana kajipendekeza sana..
Akikosa na kule, basi tumuombee dua tu ndugu yetu!![emoji28]
KwaniniHawapigi kura
Hakumkosea kitu ila nachojua alipokuwa Meya alimjibu shombo Magu nafikiri ndiyo sababu hata teuzi anazisikia ITV tu.Kwani Jery alimkosea nini Magu?
Kawe ni kesho, shangilia ya leo kwanza mlamu!Kawe vipi jamani
Bila shaka ungewauliza tume ya uchaguzi, NEC kwa sababu taratibu za CCM na NEC ni vitu viwili tofauti.Hivi Serikali za Mitaa walitumia utaratibu upi? Tukumbushane kidogo