Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchambuzi wako siyo sahihi hata kidogo. Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Makonda ni alikuwa RC wa mkoa ambao Jimbo la Kigamboni limo. Yeye ni tofauti na wakuu wa mikoa wenzie wa mikoa mingine ambao walikuwa wakuu wa mikoa kwenye mikoa mingine, wakaenda kugombea mikoa mingine.BADO MAKONDA NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Makonda anayohaja ya kuwashukuru sana watu wa kigamboni. Kwa kweli matokeo aliyoyapata kwake ni kama ushindi kutokana na kuwa, mpinzani wake alikuwa anatetea ubingwa.
Tofauti ya kura 68 ni ndogo sana.
Ukiangalia matokeo katika maeneo mengine utaona watu wakiachwa kwa mamia ya kura, wengine wakiadhibiwa kwa kushindwa kufikisha kura kumi tuu.
Makonda bado ni mshindi, na unapaswa umshukuru Mungu na watu wa kigamboni kwa kura ulizopata.
Naamini utaibuka kidedea huko mbeleni. Kila la kheri.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Umetumwa na Konda??? 😃😃😃😃😃Binafsi sijapenda kabisa kwa CCM kumrudisha tena Ndungulile sisi Wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani CCM mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sana.
Kazi anayooo[emoji16][emoji16][emoji16]20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE
Source : MbeyaYetuOnlineTV
Mnaosema hivi mnajisahau nn kama haya matokeo ya mwanzo ni geresha maana kamat kuu inaweza kumchagua hata wa pili kugombea usije shangaa jamaa asirudi kupika kwenye meli ya wagiriki akateuliwa yeye wa pili kugombea ubunge
Mjipange sana
Hakuna cha busara wala nini, Demokrasia ndio iamue, na Demokrasia ya wanaCCM wa Vunjo ndio imeamua kumpiga chini Dr. Kimei. Na bila wasiwasi wowote Dr.Kimei hawezi kuhamia upinzani. Kwanini? Kimei sio mwanasiasa, mpole na muoga sana. Siasa za Upinzani haziwezi. Chini ya Magufuli, akihamia upinzani ataishia kufilisiwa, kushtakiwa au kuozea jela.Busara itumike Jimbo la Vunjo, Kimei arudi
Aporudi akienda upinzani atamchanachana mpinzani wake vibaya sana
Kura zimehesabiwa kwa wazi Rais anahusika niniSio kwa kura za wananchi, labda kwa maagizo ya rais.
Kwani yeye kabira gani ?? Msubi au ??Go go Shigongo....wazinza walikua wanatusema sana
Ngoja nimuulize PompeoUchambuzi wako siyo sahihi hata kidogo. Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Makonda ni alikuwa RC wa mkoa ambao Jimbo la Kigamboni limo. Yeye ni tofauti na wakuu wa mikoa wenzie wa mikoa mingine ambao walikuwa wakuu wa mikoa kwenye mikoa mingine, wakaenda kugombea mikoa mingine.
Makonda kushindwa kupata kura nyingi ndani ya mkoa aliokuwa akiuongoza kunaleta taswira kuwa wananchi wa Dar hawamtaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi mzuri, mleta thread ni muimba mapambio wa Lumumba.Uchambuzi wako siyo sahihi hata kidogo. Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Makonda ni alikuwa RC wa mkoa ambao Jimbo la Kigamboni limo. Yeye ni tofauti na wakuu wa mikoa wenzie wa mikoa mingine ambao walikuwa wakuu wa mikoa kwenye mikoa mingine, wakaenda kugombea mikoa mingine.
Makonda kushindwa kupata kura nyingi ndani ya mkoa aliokuwa akiuongoza kunaleta taswira kuwa wananchi wa Dar hawamtaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip segerea?
Hiyo ndio CCM ilivyo.Sasa kama kamati kuu inaweza kubadili matokeo hizo kura za maoni umuhimu wake ni nini kama sio kupoteza tu muda.Mambo mengine hayaingii akilini.