Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunishindi mimiKwa hili, NASIMAMA NA CCM!!.
HAKUNA WAKATI NIMEWAELEWA CCM KAMA SASA. [emoji122][emoji122][emoji122]
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Unajua watu tunapenda sana kuendekeza mambo ya kijinga! Hata huko Zanzibar unaweza kukuta ni watu wenyewe tu wanajishtukia kwamba "Mkristo mimi, atanichagua nani huku" badala ya kuingia ulingoni ukakataliwe kwa vitendo badala ya kutumia hisia!Kama mkristo na kama mtanzania naunga mkono hoja.. Sio kila kitu ni dini au kabila..
Kigamboni Kuna mchezo umefanyika so bure,harufu ya rushwa na kukomeshana.Katika kura zilizonivitia ni hizi za Tunduma.
Silinde amehama kutoka Upinzani na hapo hapo akahama jimbo.
Ukitazama matokeo ya kura za maoni utaona ni kwa kiasi gani ameweza kujenga ushawishi ndani ya CCM katika muda mfupi.
Hapa ndio unaelewa ile hofu ya MNeC kutoka Tunduma.
All in All CCM inayo hazina ya taarifa ya mchakato ulivyoenda nchi nzima...yaani nani kashinda kwa kuchaguliwa bila kuhonga,nani kahonga na wakati gani alihonga.
Nani anakubalika na wananchi kwa ujumla nani ana uwezo wa kukinadi chama ndani ya jimbo,nje ya jimbo na kimataifa n.k
Kwa hiyo tushushe pumzi mchakato unaendelea.
Kigamboni lilikuwa ni jimbo Sahihi kwake, maana hata Upinzani hakuna Strong candidate mpaka muda huu ambaye katia nia. Kwa kama kama atapita kwenye mchakato wa maoni alikuwa anaiona Dodoma ile pale. Kimbamba na Ubungo ni safe seats za Chadema.Unachosema Ni sahihi kibamba ccm haina nguvu hivyo aliogopa kupetwa na John mnyika, kawe hata Kama angepita angekumbana na kisiki halima mdee, kimsingi makonda ni mwoga sana
Kila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri[emoji122][emoji122]
na wasaniiHapa MaCCM yamejua kunifurahisha walau mara 1 kwa miaka 10.
Muhasimu.Tundu lisu analudi,huku mwasimu wake mkubwa akiwa kama raia wa kawaida kabisaaa.Kweli mwisho wa ubaya ni aibu
Kuna ukweli wowote kwamba Mwakyembe amegaragazwa?
Walishalipwa mshiko wao wakala pesa ikaishaHawa wapuuzi flani walihama wakapewa nafasi CCM saivi wamewanyoosha, Shukwani ziwaendee CCM na mwenyekiti wao. Mwenyekiti kashamaliza teuzi za UDAS, URC, UDC, U-RAS waliopoteza watajutia nafasi walizopoteza.
- Mtulia
- Katambi
- Kafulila
- Nassari
Wateule walioacha teuzi nao wamegaragazwa
Wasanii waliojiforogoa kwamba wanaipenda CCM nao CHALIIIII
Niwape tahadhari wenye wake wanaosali kwa askofu uchwara Gwajima, wazuieni wake zenu kwenda huko maana jamaa akikosa ubunge atawapiga mitete mpaka waseme basi! Hasira zote anazihamishia kwa kondoo wake!Sitaki nichekeeeeeee naona kanisa la ufufuo na uzima likisambaratika
Kigamboni Kuna mchezo umefanyika so bure,harufu ya rushwa na kukomeshana.
CC inatakiwa kufanya uchunguzi kwa Hawa wanaoteuliwa ili kupata viongozi bora na wenye maslahi mapana zaid kwa wananchi.
Watu wamebanwa maslahi yao Sasa wanaamua kuleta urafiki na kutumia kilambinu kutaka kuwatoa waliowabana ili waeze kuendelea kupiga.
Shigongo tangu 2010 anagombea huko kwao mpk leo.Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.
Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.
Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?
Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
Watulie sasaWalishalipwa mshiko wao wakala pesa ikaisha
Hao wasanii ndio muda wao kutumika subiri uchaguzi upite km utawasikia. Wanaokotwa tuna wasanii
Wameshakula ujira waoWatulie sasa
Tuwekee matokeo hapaKatika kura zilizonivitia ni hizi za Tunduma.
Silinde amehama kutoka Upinzani na hapo hapo akahama jimbo.
Ukitazama matokeo ya kura za maoni utaona ni kwa kiasi gani ameweza kujenga ushawishi ndani ya CCM katika muda mfupi.
Hapa ndio unaelewa ile hofu ya MNeC kutoka Tunduma.
All in All CCM inayo hazina ya taarifa ya mchakato ulivyoenda nchi nzima...yaani nani kashinda kwa kuchaguliwa bila kuhonga,nani kahonga na wakati gani alihonga.
Nani anakubalika na wananchi kwa ujumla nani ana uwezo wa kukinadi chama ndani ya jimbo,nje ya jimbo na kimataifa n.k
Kwa hiyo tushushe pumzi mchakato unaendelea.