Mkongwe na nguli katika tasnia ya muziki Dudubaya, atoa pikipiki 30 kwa vijana kama ajira kwao, ambapo watakua wakirudisha marejesho kupitia mpato yatakayopatikana kwenye pikipiki hizo.
Lakini pia, ajira hizo ametoa kwa vijana kwa lengo la kuhakikisha usalama wa vijana huko mitaani, kuwaepusha...