bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na Organisers: Miaka 30 ya Bongo Fleva.

    Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo: Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS Mwana FA usiache kuimba – Haina Fagio Fid Q usiache imba – Sihitaji Marafiki GK usiache imba – Tuko...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

    Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life. Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni?? Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage. "NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI" "USHANTA"...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

    Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha. Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva miaka 30 ni zaidi ya fiesta.

    Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta. wakongwe wamekamata kila kona. Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka. TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo kuwa.
  5. JamiiForums Tanzania 30 ya bongo flava shikamoo Madee hii imeweza

    Congratulations kwa Ubunifu, mzee umeweza tamasha lilianza kama utani mpaka limekuwa la kimataifa aliyekuja na idea ya kumleta cheeks ndiye kamaliza kabisa mpaka wizard ya utalii Kupitia ttb nao wameunga tela Leo nimeona mnaelekea azania bank dah akili nyingi chukua maua yako
  6. JamiiForums Tanzania Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno

    Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno. Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno. Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake. Ila vile vichunchuda vya...
  7. JamiiForums Tanzania Connection ya wa bongo movie, Waziri Gwajima isifike jioni hujasema lolote taifa linasubilia onyo kali

    Baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha Yuko na kijana mdogo akimuomba waka fanye tendo (twende ukanit@,,, ndo turekodi vizuri). Kwenye video hiyo Bi Kauye anaonekana akiwa anamvuta kijana huyo waende sehemu, pia kijana huyo alikuwa akimrekodi huku bibi Kauye amemlalia kifuani. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania 𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗼🔋📱

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  9. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  10. JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Wapenzi wa bongo movie Binafsi nakerwa na tabia za waigizaji wa bongo movie kuwatengeneza walinzi (gatekeeper) kuwa wasio na akili timilifu. Huwa nawaza mlinzi na umuhimu wake sasa iwaje awe hana utimamu japo najua ni uigizaji lakini namna unavyotengeneza wahusika ndivyo filamu/ tamthiliya...
  11. JamiiForums Tanzania Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani 🌘

    🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.” marke Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀 Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  13. JamiiForums Tanzania 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗡𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗲

    🍎 Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni 👊. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. 🤯📲📲 Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  14. JamiiForums Tanzania Je Serikali ya Ccm na Samia ilikua imejiandaa kweli juu ya hili swala la shule za Amali?

    Habar, Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani, Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

    Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa . Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  17. JamiiForums Tanzania Je, bongo fleva ndio chanzo kikuu cha Ush

    Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
  18. JamiiForums Tanzania Nchimbi, ukifanya kosa la kuishi bongo umeisha

    CHIMBA
  19. JamiiForums Tanzania 𝗪𝗔𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗘𝗙𝗧𝗢𝗢𝗕𝗔𝗟𝗟 𝗗𝗜𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗨𝗠𝗨 ⚽

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…