lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Kwani Press ya Lema ilikuwa danganya toto?

    Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh! Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa! Eti wenyewe...
  2. Team Lissu tukishanyakua Uwenyekiti wa CHADEMA

    Jamani tujiandae ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
  3. B

    Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  4. R

    Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  5. Wagombea ndani ya CHADEMA kwa sasa inabidi waseme wako timu ipi (Mbowe au Lissu), ili watu wajue!

    Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi. Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana, basi kipimo ni namna unavyoipigania hiyo timu, hakuna maneno mengi. Ikiwa msimamo wako kitimu...
  6. F

    Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

    Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi. Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni? Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
  7. Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  8. Kama Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenda wake mtafanya nini? Mtakubali matokea au kuhama chama?

    Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je mtabaki au kutawanyika ima kuunda chama kipya kama alivyofanya Zitto Kabwe au kwenda uchawani? Are...
  9. ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

    == Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu, Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema...
  10. Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

    Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
  11. Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  12. M

    Shairi la kuwaaga Lissu, Heche na Lema CHADEMA

    Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani, Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini, Walilia haki, wakapigania usawa, Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani. Ni uchaguzi wa ndani, si vita vya umoja, Lakini kilichobaki ni majeraha ya mioyo, Je, ni hasira ya kushindwa au dhoruba ya...
  13. R

    Mh Lema, huamini kuwa Lissu aweza mshinda Mbowe katika uchaguzi Hadi umuombee aachiwe na Mbowe?

    Hellow!! Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli? Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani! Karibuni ๐Ÿ™
  14. J

    Hotuba za Tundu Lissu zinadhihirisha usomi wake. Kamuibua Amilcar Cabral. Wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa wanamjua?

    Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake. Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana. Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake. Msikilize...
  15. Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

    https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli, Kwa idadi ya wajumbe wanaomuunga Mkono Lissu ni wazi atashinda Uchaguzi huu kwa margin kubwa, Mjumbe usipotoshwe njia sahihi ni Tundu Lissu,
  16. M

    Lissu mbona mnyonge sasa?

    Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi. Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana. AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?
  17. Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyangโ€™anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  18. Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

    Tuongee kwa mifano, wewe ulianzisha nini kama hao uliowataja ili tuige?
  19. Pre GE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  20. M

    Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

    Wapendwa ushauri huu ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ โ€œSiasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungsโ€ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Haya msinitafute baadaye na ma presha huko! Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe! Haya muwe na usiku mwema ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ ............ User mwengine akajibu hivi; Siasa za Africa ๐ŸŒ ndivyo zilivyo Wanasiasa wanatofautiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ