milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa. PIA SOMA -...
  2. Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

    Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
  3. Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  4. CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  5. Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  6. B

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  7. Geita: Mkuu wa Wilaya ashangaa Zahanati ya Tsh. Milioni 100 kutokamilika tangu 2019

    Mkuu wa Wilaya ya Geita Hashimu Komba amesikitishwa na kitendo cha ujenzi wa Zahanati iliyopo Kata ya Kasamwa Wilayani humo kutokukamilika toka mwaka mwaka 2019 huku hadi sasa shilingi milioni 100 zikiwa zimeshatumika kwenye ujenzi wake. Akiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kasamwa, DC...
  8. Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

    Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
  9. O

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee, huyu mjknga huyu daa! Pesa ni za wife za mauzo ya leo dukani kwake pale...
  10. B

    Pre GE2025 Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4

    Anachofanya Waziri Mchengerwa kwa wananchi wa Jimbo lake la Rufiji walioathirika na mafuriko ni nadra sana kukiona kikifanyika kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya Uwaziri. Waziri Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge wa Rufiji ameongoza wadau mbalimbali kutoa misaada ya chakula na malazi kwa wananchi wake...
  11. Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  12. Msaada: Kwa Tsh. Milioni 26 naweza kujenga nyumba ya vyumba viwili nchini?

    Wakuu. Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha full kuhamia?
  13. Lawrance Mafuru: Dira ya Taifa inataka kila Mtanzania awe na kipato cha Dola 3,000 (Tsh. Milioni 7+) mwaka 2025

    Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amesema, Dira ya sasa ilikuwa baada ya mchakato wa miaka mitatu kuanzia mwaka 1997- 99, chini ya uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Na walikuwa wamejiwekea malengo kadhaa. Na tumefanikiwa au hatujafanikiwa? Mwaka 2000 walisema...
  14. G

    Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
  15. M

    Wafanyabiashara Zanzibar waunga mkono michezo bara kwa Hundi ya milioni 500

    Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar. Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo. Huu ni upendo mkubwa na kudumisha muungano wetu. Hundi hiyo inakabdhiwa TFF.
  16. Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
  17. U

    Kisugu, GB 64, Pasi Milioni na Mzaramo hawaikosoi Simba why? wamemzidi nguvu Ahmed Ally

    Hivi Simba ni Lini imewateua Hawa watu kuwa wasemaji wa Washabiki wa Simba, mana wao wamekuwa wakisifia Simba hata ikifungwa na na nguvu nyingi wameweka kuikosoa Yanga. Tofauti na Mashabiki wengine wa Simba , wasemaji Hawa wa mashabiki wa Simba , wamesema haya ni moja ya matokeo ya Mpira hivyo...
  18. CAG: TTCL yapata hasara ya shilingi Milioni 894. Yarejesha ruzuku kama mapato

    Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini. Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
  19. Laki Moja yako itakupa milioni 3 kwa miezi 3 tu

    Habari za wakati huu ndugu zangu humu !! Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao hawana kazi ila wana pa kuanzia. Nazungumza na yule mtu ambaye anasema hana mtaji wakati mkononi...
  20. Dhamana ya Trump yapunguzwa kutoka milioni $464 hadi milioni $175!

    Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Huu ndo mwanzo wa mwisho wa kesi ya kizushi dhidi ya Trump! Hii ni lawfare ambayo haina kabisa nafasi kwenye nchi ya kidemokrasia. Unamhukumu mtu halafu unapanga kiasi kikubwa ajabu ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…