Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu.
Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding.
Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne.
Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na...