sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  2. JamiiForums Tanzania ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

    Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi: Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

    Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali dumisheni nidhamu kwenye mahakama zetu; Kuna watuhumiwa wanaichezea sana serikali.

    Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache: 1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  6. JamiiForums Tanzania Hili la kuwaajiri graduate wa miaKa hii na kuwaacha wa miaKa ya nyuma sana limekaaje?

    Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani

    Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe Sensa inaonyesha idadi kubwa ya watu Tanzania ni vijana. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani Ili kama nchi tuanze kupata kizazi kipya cha wabunge na madiwani chenye mawazo mapya yanayoendana na dunia ya sasa Changamkeni...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa wazee omba omba huku mjini imekuwa huzuni sana

    Hivi hawa wazee vikongwe ninao waona huku mjini posta, na mitaa ya upanga wakiwa wanaomba omba, huwa najiuliza walikosea wapi enzi za ujana wao, Kwanini kipindi cha ujana wao hawakuandaa maisha yao ya uzeeni, Je, hawana watoto wa kuwasaidia? Unakuta kibibi au kibabu kinapigwa na baridi na...
  9. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania imefaidika vipi wakati dola imeporomoka sana

    Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania Binafsi kama mwanamke hajabarikiwa Nyuma ni changamoto sana

    Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
  11. JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

    Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali ) Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
  14. JamiiForums Tanzania Sio siri wanawake wanaongea sana

    Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania YANGA ILISHINDWA KUTOBOA KWENYE KUNDI DHAIFU SANA

    Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao. Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamepoa sana na wamekata tamaa kabisa baada ya Lissu kukamatwa?

    Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini? Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo. Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
  17. JamiiForums Tanzania Malipo ya mtandaoni kwa tanzania ni pasua kichwa sana

    Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi. Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu...
  18. JamiiForums Tanzania Bongo noma sana pombe Kali zilizokuwa viroba zinauzwa Mpaka leo

    Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart. Pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba inahangaikia sana Kombe la Looser

    Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…