KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
LOOOooh, mbona hii imechelewa sana!WametepetaaaaView attachment 1582858
Ujinga mtupu! Unatanguliza kuibiwa kura ili iweje? Lissu tumemfahamu leo? Tanzania tunataka mtendaji, kama ni maneno alishayasema miaka yote, yametusaidia nini? Hoja hoja to where? Hii siyo dunia ya hoja. Tunataka CHADEMA na CCM watueleze watakachofanya siyo hoja utadhani ni darasa la kufundisha wanasheria. Kila siku ni ahadi za kurekebisha sheria! Too cheap!Nimesikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenye Kampeni zake mkoani Mara Hakika hakamatiki!!
Ili kumshinda Lissu kwenye Sanduku la kura itabidi CCM waibe vile hawajawahi kuiba tangu mfumo wa multipartism uanze.....!!!
Pumbavu kabisa.Mbona unaruka ruka kama pimbi? Au ndiyo sababu mdau mmoja kakuita pimbi?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uko sawa. Pumbavu kabisa.Wewe mwenyewe ni shoga unaegawa tako kwa maofsa wa zzm.
People used to die in the lake
SUBIRI KIDOGO
Wameshaonesha wazi kuwa wana mpango wa kugushi matokeo. Kwao, Magufuli alishashinda na anangoja tu kutangazwa. Wanaogopa mtu mwingine anayesema ana uhakika wa kushinda na haki isipotendeka, hapatatosha, wanaona wazi kuwa tishio linawahusu. Ukweli ukiangalia kampeni za Lissu, ukisikiliza maoni ya Watz walio wengi, Lissu atashinda kwa kishindo. Hii inasumbua tume kwa kuwa hawako tayari kwa hilo. Watatangazaje mshindi asiye Magufuli?NEC ya Mahera mteule wa Magufuli inaonekana haijitambui na imechanganyikiwa[emoji1787][emoji1787]
NEC Hawajui kuwa Wana-deal na Wakili MSOMI na nguli wa Sheria Tanzania.....!!!
Wataelewa tu taratibu ni suala la muda tuHivyo kitambulisho mtapata tabu wananchi kuwaelewa