RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Kwanza hakuna mahala Lissu alisema matibabu yatakuwa bure hata kwa unemployed au mtu yeyote.View attachment 1558198
........Mifumo yote ya afya West Europe inafanana ipo modelled kama NHS (ndio wa kwanza kutoa universal health) jinsi inavyokuwa funded.
Ili kila mtu atibiwe bure ata wale wasiofanya kazi; walio ajiriwa na waajiri wao ndio wanachangia social security fund na asilimia ya raia walio kwenye ajira ni above 95%.
Utalipa EU mia tatu kwa mwaka we nani labda kama wewe ni unemployed. Tukisema huyo mtu anajiropokea hata hajui hiyo mifumo inavyofanya kazi mnaona kama tuna mtukana.
Pili Rwanda hapo jirani zetu wanamfumo huo wa UHI, Je wanalipa euro 300 kwa kila raia?.
Jambo lamsingi lakuelewa nikuwa kila mwananchi atalipa kulingana nakipato chake lkn matibabu yatakuwa sawa kwa wote.
Jambo lingine lakawaida tu ambalo halihitaji hata certificate kulitambua, nikuwa kila nchi hulipa gharam kulingana nahali ya uchumi wanchi husika.