Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Pepo unayemtesa huyu kiumbe tokaLissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Unajua kimeongelewa nini??Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Yaani mradi wa JNHPP hauna manufaa kwa taifa letu? Ndio sindano hizo unaita.tulia sindano ikuingie vizuri.
Chato hata umbea wa kuongea hawana.
Maswali mazito mno na majibu ya maswali hayo ni makubwa sana.
Hakuna MTU wa Lumumba anaweza jibu maswali hayo hata ukiwakusanya kumi kwa pamoja.
Ka Kawe Alumni huwa kanazibuliwa mfereji wa waste water!Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Wakati huohuo mahari ilipokelewa jukwaani hukusema chochote- Usimfundishe LissuLissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Yaani Watanzania hawajui kua kufoji ni kosa la Jinai,adhabu yake hadi 15yrs in Jail!!Isingekuwa busara na huruma ya mh. Rais Magufuli waliofoji vyeti wote walitakiwa wawe jela.
Eti walipwe mafao, kufoji ni kosa la jinai. Chadema acheni kutetea wezi.
Kwenye Andiko lako, hii ndio takataka kabisaLissu ni Mgombea urais Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Kwa kuwa wewe unatabia ya kupigwa na kuomba.Mbona kasahau kuomba kura kwasababu kapigwa risasi 16?
Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Kwani mikataba inabandikwa kwenye magazeti kama Lissu anavyotaka? Bunge ndio wananchi na wabunge huwa wanaiona maana sheria inasema inatakiwa kupelekwa bungeni.Badala ya kumdiss Lissu ningependelea upande wa pii ujibu baadhi ya hoja zake kwa data and facts. Issue kama ya mikataba ni kitu muhimu usipo iweka wazi basi ni rahisi watu kuamini kuwa kuna upigaji. Tukumbuke matokeo na mchakato vyote ni muhimu na vyote vinatakiwa kwekwa wazi. Kwa mfano vyuo vikuu vinatoa wanafunzi uimara wao inategemea mchakato wanaopitia, sasa kama michakato ya vyuo iko gizani tusije tukalauminiana.
Jibu hoja. Kama haumwelewi Lissu basi wewe ni mbumbumbu. Lugha rahisi sana. Lissu ni zaidi ya mwalimu. Kama hautaki kuelewa hauwezi kulazimishwa kuelewa. Kama umesikiliza ujumbe umeupata.