Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Tunataka baada ya uchaguzi Mgombea urais wa Chama cha Mbowe abaki hapa nchini, asitoroke!! Tunataka abaki hapa ashuhudie namna watanzania wanavyoimarisha nchi yao katika nyanja zote.
 
Kila jambo na wakati wake hivyo vinatolewa awamu ya pili, relax kidogo utashuhudia
 
Hawa watu wa mtaa wa "nzi wa kijani" watahoji;

".....hela yote atatoa wapi.......?"

Yaani watahoji hili swali kwani watakuwa wamesahau kuwa walisema na wanasema kila siku;

"....sisi Tanzania ni 'dona kantrii' tayari na tuko kwenye uchumi wa kati....!!"

Hawa jamaa (inzi wa kijani) ni wasahaulifu sana. Kiuhalisia hawa ndiyo "nyumbu" wenyewe halisi...!!
 
Wewe na mke wako mpo na Magoo-fool lkn,sisi Watanzania wa mikoa yote,wilaya zote,Tarafa zote na Kata zote tupo na Rais wetu Lissu the Great... hatuwezi kuchagua matakataka mwaka huu!
Watanzania hatutamchagua mtu kisha aongoze nchi kupitia matamko ya kibeberu chake alichotoka nacho ughaibuni!

Mwambie aandae mabegi oktoba anarudi kwa beberu wake
 
Maskini Mbona unaandika huku ukiwa umekata tamaa?
Kuna yule kakata tamaa mpaka pumzi, Lissu habari nyingine imebidi jamaa aombe poo kidogo. "He is taking a breath"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunataka baada ya uchaguzi Mgombea urais wa Chama cha Mbowe abaki hapa nchini, asitoroke!! Tunataka abaki hapa ashuhudie namna watanzania wanavyoimarisha nchi yao katika nyanja zote.
Yeye ndiye Rais ajaye, sasa unadhani atakuwa wapi?
 
Tunataka baada ya uchaguzi Mgombea urais wa Chama cha Mbowe abaki hapa nchini, asitoroke!! Tunataka abaki hapa ashuhudie namna watanzania wanavyoimarisha nchi yao katika nyanja zote.
Kwa kuua watu sawa not otherwise
 
Back
Top Bottom