4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
mkuu mbona mnapakaa mzee wa watu mafuta kwa mgongo wa chupa , kwa hali hii uhakika wa ushindi unatoka wapi? nyie ndo mmedanganya miaka mingi kwamba, tiyari mzee umemaliza kazi, na mbaya zaidi mzigo mkubwa mlimuachia yeye, mkipalilia vyeo wakati hamjengi chama , na mzee ni mtu wa maamuzi magum ngoja amuachie lissu nchi tuone mtajificha wapi, maana yeye kama yeye anakua ajapoteza kitu , taifa litaendelea kumtunza kama kiongozi wa kitaifa mstahafu , mwafaaUkiwa na uhakika na ushindi hupati kimuhe kimuhe