4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
mkuu mbona mnapakaa mzee wa watu mafuta kwa mgongo wa chupa , kwa hali hii uhakika wa ushindi unatoka wapi? nyie ndo mmedanganya miaka mingi kwamba, tiyari mzee umemaliza kazi, na mbaya zaidi mzigo mkubwa mlimuachia yeye, mkipalilia vyeo wakati hamjengi chama , na mzee ni mtu wa maamuzi magum ngoja amuachie lissu nchi tuone mtajificha wapi, maana yeye kama yeye anakua ajapoteza kitu , taifa litaendelea kumtunza kama kiongozi wa kitaifa mstahafu , mwafaaUkiwa na uhakika na ushindi hupati kimuhe kimuhe
Endelea kulamba makalio yao utapata tu cheo ng'ombe wwKufutwa machozi na watu wanaotumiwa na Wazungu ?
Nani akuubali?
Sisi tupo na Rais Magufuli
Hao wazungu ndio wanaokulisha ww basi kama umbabe ondoa Yale mabango yaliuopo bara bara ni yalioyo andikwa kwa hisani ya msaada wa watu wa marekaniKufutwa machozi na watu wanaotumiwa na Wazungu ?
Nani akuubali?
Sisi tupo na Rais Magufuli
Fukuto limezidiKuna mtu kaenda mapumziko katikati ya mechi.[emoji851]
Unforgetable
Bila kujali uvyama Bali uhalisia wa nini mhusika amekua akikitetea,maono na ndoto ya nini hatima ya nchi yetu kiuchumi,kijamii na kisiasa huyu Mheshimiwa ameonyesha umahiri mkubwa kuelezea nini ataifanyia nchi hii...
[emoji115][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu kaenda mapumziko katikati ya mechi.[emoji851]
Unforgetable
Lissu the mobile universityHuo ndio ukweli. Lissu ni zawadi yetu kutoka kwa Mungu. Aliandaliwa kupitia machungu makubwa ili aimarike Kama mchanga upitishwao kwenye tanuru la moto ili utoke humo dhahabu.
Lissu ni msomi aliyeekimika sio yule bwana wa matunguri.Bila kujali uvyama Bali uhalisia wa nini mhusika amekua akikitetea,maono na ndoto ya nini hatima ya nchi yetu kiuchumi,kijamii na kisiasa huyu Mheshimiwa ameonyesha umahiri mkubwa kuelezea nini ataifanyia nchi hii...
Kuliko yule aliyesema yy ni kichaa?Unamlamba ma.tako tu ni Mwenda wazimu yule
Nimefuatilia siasa za nchi hii tangu kipindi cha Chama kimoja!Bila kujali uvyama Bali uhalisia wa nini mhusika amekua akikitetea,maono na ndoto ya nini hatima ya nchi yetu kiuchumi,kijamii na kisiasa huyu Mheshimiwa ameonyesha umahiri mkubwa kuelezea nini ataifanyia nchi hii. Nimemfuatilia kwa umakini wa hali ya juu sana.
Umenena kweli kabisa!Tuna kila sababu ya kuhakikisha Lissu anaenda ikulu mwaka huu! Mwenyezi Mungu awezeshe na kufanikisha hili kwa Jina la Yesu![SUP]Nasema tutalaumiwa mno na vizazi vijavyo tukishindwa kumpeleka ikulu Lissu. Nguvu ya umma ichague rais mwaka huu.[/SUP]
Kwenye mishahara kwa nini unasema hana uwezo napo??Hizo hoja wanapaswa waziongee wabunge sio mgombea uraisi. Hiyo point ya mishahara Hana uwezo nalo ila kwenye maongezi yake alitie nyama nyama.
Mh. Pombe au? Maana ndiye bingwa wa matusiMpaka sasa sijaona huo uspecial wa lisu mnaomsifia namuona ni mtu wa kawaida sana anayelalamika majukwaani tu.
Nasikia lawama na matusi na uchochezi, yaani bila kutukana wenzake hawezi kupata attention anayoitafuta.
Weka mfano wa tusi alilotukana mda tarehe na mahali!Mpaka sasa sijaona huo uspecial wa lisu mnaomsifia namuona ni mtu wa kawaida sana anayelalamika majukwaani tu.
Nasikia lawama na matusi na uchochezi, yaani bila kutukana wenzake hawezi kupata attention anayoitafuta.
Huu ni ukweli mchungu kwa watu fulani hasa wasio wazalendo wanaoonysha uvyama badala ya uhalisia!!Hiki ni kichwa watake wasitake!!nmesema kama kuna mtu anabisha aombe akae na machine hii kweny jukwaa lazma atakimbiaa!!Nimefuatilia siasa za nchi hii tangu kipindi cha Chama kimoja!!
Napenda kusema kuwa tangu wapite Nyerere na Oscar Kambona, Tundu Lissu ndo mwanasiasa wa kipekee na mahiri zaidi kwa Tanzania ukiondoa hao watu wawili