Anawasilisha sera kwa weledi sana hata mtu asie na elimu ya darasa la saba anaelewa kwanza anataja tatizo, kisha limesababishwa na nani, kisha madhara yake, kisha yeye atafanya nini kulitatua aina hii ya uwasilishaji CCM hawakuuzoe ndo maana wanaona kama anatukana lakini wakiulizwa taja matusi aliyotukana hawana majibu hivyo kumfanya lisu awe tofauti na mgombea yeyote tangu tupate uhuru.
 
The BEST explanation
 
Lissu huwezi mfananisha na Dr. Slaa wala Lowasa. Labda kawazidi porojo na matusi tu, wale wazee walijikita kwenye hoja na nyingi za hizo hoja jembe JPM kazifanyia kazi kisawasawa.
 
Sijui amewazidi Nini maana kwa Nyomi Lowasa alifunika. Nakumbuka mlikuwa mnasema Mafuriko

Kwa Sera huwezi kumfananisha Lissu na Daktari Msomi Slaa itakuwa Matusi sasa.
Mkuu ukisoma vema mistari yangu utaelewa kwanini Lissu kawazidi, hii miaka mitano imekuwa migumu sana, lakini ujio wake umekuwa gumzo. What if vyama vyote vingefanya siasa katika uwanja fair kwa hii miaka?
 
Sijui amewazidi Nini maana kwa Nyomi Lowasa alifunika... Nakumbuka mlikuwa mnasema Mafuriko,

Kwa Sera huwezi kumfananisha Lissu na Daktari Msomi Slaa itakuwa Matusi sasa
Issue sio Lissu au Lowasa tu bali ni watu na mawazo yao juu ya hali ilivo ukimhusisha mtu.
Usione watu wamekaa kimya kama kobe, wanatunga sheria! Kuwa mtafiti kidogo kuhusu saikolojia ya mwanadamu na mahitaji yake.
Mtu anaweza kutofautisha papai liloiva na bichi bila kuambiwa!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukisoma vema mistari yangu utaelewa kwanini Lissu kawazidi, hii miaka mitano imekuwa migumu sana, lakini ujio wake umekuwa gumzo. What if vyama vyote vingefanya siasa katika uwanja fair kwa hii miaka?
Tangu lini wakaelewa?
 
Ni kweli.. awamu hii ni zaidi ya ukoloni asilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…