Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Wasalaam wana jamvi!

Kampeni za uchaguzi zimeendelea kupambana moto huku kila mgombea akiendelea kutoa ahadi zake kwa wananchi endapo atapewa ridhaa!

Jana Tundu Lissu akiwa mbeya mjini na Tunduma ameendelea kutoa ahadi ambazo kila aliye hudhuria amemuona ni kitukp cha kutupa hahahaha

Kwanza Lissu amewambia wamachinga kuwa wakimchagua hawatolipa hela ya vitambulisho wala ushuru wowote maana yake watafanya biashara bila kulipa chochote mahali popote!

Hivi kweli kuna nchi inayo endeshwa bila kodi? Sasa pesa za elimu bure hadi chuo kikuu atazipata wapi? Pesa za bima afya kwa wote tena bure atazipata wapi ikiwa watu watafanya biashara bure?

Kwakweli ukimsikiliza Lissu unaweza ukapata jibu kwanini watu aina yake huwa hawagusi ikulu na wanabaki tuu kwenye harakati....

Kweli machinga wafanye biashara bure?
Hahahaha
 
Ungeanza kutuambia izo elfu 20 mnazikusanya chini ya sheria gani na zinaenda mfuko upi wa serikali??? Na huwa mnazitumiq kwenye shughuli gani??? Kuliko kuleta ujinga wako!
 
Wakiungana Lisu na mzee wa Ubwabwa inakua Taifa la majuha.

sijamsikia jamaa akizungumzia kurejesha makao makuu ya Nchi Dar es salaam toka Dodoma,
 
Ndio pesa wanazotumia kwenye kampeni zao ccm, na yale maburungutu ya pesa aliyokuwa anagawa barabarani unadhani yanatoka wapi?!
 
Wakiungana Lisu na mzee wa Ubwabwa inakua Taifa la majuha.

sijamsikia jamaa akizungumzia kurejesha makao makuu ya Nchi Dar es salaam toka Dodoma,
Makao makuu yanaweza kuwa mkoa wowote nchini, mimi nikiwa rais nitapeleka makao makuu mkoa wa Mara.

Ni kutamka tu hakuna sifa kwenye hilo.
 
Huyu jamaa anafikiri pesa alizoahidiwa Brussels zitaendesha nchi
 
Mmeishiwa hoja mnakuja na viroja!! Semeni elfu 20 mnazopora wamachinga mnapeleka wapi??? Na lazima Raisi Lissu amtume CAG kukagua. Si mnajifanya wezi sana nyie nzi wa kijani??
 
Wasalaam wana jamvi!

Kampeni za uchaguzi zimeendelea kupambana moto huku kila mgombea akiendelea kutoa ahadi zake kwa wananchi endapo atapewa ridhaa!

Jana Tundu Lissu akiwa mbeya mjini na Tunduma ameendelea kutoa ahadi ambazo kila aliye hudhuria amemuona ni kitukp cha kutupa hahahaha

Kwanza Lissu amewambia wamachinga kuwa wakimchagua hawatolipa hela ya vitambulisho wala ushuru wowote maana yake watafanya biashara bila kulipa chochote mahali popote!

Hivi kweli kuna nchi inayo endeshwa bila kodi? Sasa pesa za elimu bure hadi chuo kikuu atazipata wapi? Pesa za bima afya kwa wote tena bure atazipata wapi ikiwa watu watafanya biashara bure?

Kwakweli ukimsikiliza Lissu unaweza ukapata jibu kwanini watu aina yake huwa hawagusi ikulu na wanabaki tuu kwenye harakati....

Kweli machinga wafanye biashara bure?
Hahahaha
Pesa zinazokusanywa kutoka kwa machinga kwa mwaka ni kiasi gani?Tuanzie hapo!
Mbona zamani kulikuwa na kodi ya kichwa kwa kila mtanzania na ikaondolewa?Mbona kulikuwa na hadi kodi ya kumiliki baiskeli lakini ikaondolewa?Mbona kipindi cha JK machinga walikuwa hawatozwi kodi?Kulikoni ahadi yake uione haitkelezeki?
Jinga kabisa!
 
kwa taarifa tu hao machinga wakilipa hizo elfu ishirini hawapewi risiti ndiyo maana hizo pesa watendaji wa mitaa wanajipigia tu na wengine wamejitengenezea vitambulisho feki!
 
Wasalaam wana jamvi!

Kampeni za uchaguzi zimeendelea kupambana moto huku kila mgombea akiendelea kutoa ahadi zake kwa wananchi endapo atapewa ridhaa!

Jana Tundu Lissu akiwa mbeya mjini na Tunduma ameendelea kutoa ahadi ambazo kila aliye hudhuria amemuona ni kitukp cha kutupa hahahaha

Kwanza Lissu amewambia wamachinga kuwa wakimchagua hawatolipa hela ya vitambulisho wala ushuru wowote maana yake watafanya biashara bila kulipa chochote mahali popote!

Hivi kweli kuna nchi inayo endeshwa bila kodi? Sasa pesa za elimu bure hadi chuo kikuu atazipata wapi? Pesa za bima afya kwa wote tena bure atazipata wapi ikiwa watu watafanya biashara bure?

Kwakweli ukimsikiliza Lissu unaweza ukapata jibu kwanini watu aina yake huwa hawagusi ikulu na wanabaki tuu kwenye harakati....

Kweli machinga wafanye biashara bure?
Hahahaha
Delete ccm Oct 28
 
Nchi ni tajiri mzee,kodi ni lazima kuna mianyaa mingi ya kubana
 
Tatizo lako ni kwamba umefungwa uelewa na mfumo duni wa kiutawala. Tuache mifano ya Ulaya na America.

Hapo Ghana tu, mfanyabiashara mdogo halipi kodi yoyote wala hauzi vitu vyake vikiwa na VAT.

Na kwa tafsiri ya mfanyabiashara mdogo kwa Ghana, ni mfanyabiashara ambaye mauzo yake hayafikii dola 50,000 kwa mwaka. Huyo halipi kodi yoyote.

Kodi huwa ina malengo mawili. La kwanza ni kwaajili ya huduma za jamii. Pili ni kwaajili ya kuwasaidia watu wa kipato cha chini ili waweze kuinuka. Sasa huwezi ukawa unamwinua mtu wa hali ya chini halafu huyo huyo unamgandamiza kwa kodi. Atanyanyukaje?

Falsafa ya Rais wa Ghana ni kuwa, 'mwache mfanyabiashara mdogo akue, akiwa mkubwa atalipa kodi". Ukianza kumpiga kodi wakati mtaji wake wenyewe ni wa kusuasua, atafia hapo hapo. Na hiyo kodi uliyoichukua toka kwake haitakuwa sustainable.

Shida ya mashabiki wengi wa CCM na Rais Magufuli, ni uelewa mdogo. Mngekuwa mnajibidisha kupata maarifa kabla ya kupwayuka mambo msiyo na uelewa nayo.

Nchi nyingi Duniani hawahangaiki na kodi ndogo toka kwa watu wa hali ya chini. Zaidi wanashughulika na kodi za makampuni na biashara kubwa ili ziisaidie serikali kuwapa huduma muhimu watu wa hali ya chini, na kuwajengea mazingira ya kuwafanya hao watu wa hali ya chini, siku moja wawe na makampuni au biashara kubwa.

Biashara za watanzania wengi hazikui kwa sababu ya kodi zisizolipika. Kama mfanyabiashara hapati faida, mtaji wake hauwezi kukua. Kama mtaji haukui, biashara haiwezi kukua wala kupanuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wana jamvi!

Kampeni za uchaguzi zimeendelea kupambana moto huku kila mgombea akiendelea kutoa ahadi zake kwa wananchi endapo atapewa ridhaa!

Jana Tundu Lissu akiwa mbeya mjini na Tunduma ameendelea kutoa ahadi ambazo kila aliye hudhuria amemuona ni kitukp cha kutupa hahahaha

Kwanza Lissu amewambia wamachinga kuwa wakimchagua hawatolipa hela ya vitambulisho wala ushuru wowote maana yake watafanya biashara bila kulipa chochote mahali popote!

Hivi kweli kuna nchi inayo endeshwa bila kodi? Sasa pesa za elimu bure hadi chuo kikuu atazipata wapi? Pesa za bima afya kwa wote tena bure atazipata wapi ikiwa watu watafanya biashara bure?

Kwakweli ukimsikiliza Lissu unaweza ukapata jibu kwanini watu aina yake huwa hawagusi ikulu na wanabaki tuu kwenye harakati....

Kweli machinga wafanye biashara bure?
Hahahaha

Kwani hujaona wafanyakazi ambao mshahara wao hawakatwi kodi wewe unaishi wapi, ni uamuzi tu kuwa shuguli gani zilipiwe kodi kulingana na kiwango cha mapato. Hakuna kitu cha ajabu ni namna sera inabotaka kuwainua wafanya biashara wadogo waweze kuwa wakubwa kwa kuwa hiyo kama inventive kuwa tu muelewa usikurupuke
 
Ungeanza kutuambia izo elfu 20 mnazikusanya chini ya sheria gani na zinaenda mfuko upi wa serikali??? Na huwa mnazitumiq kwenye shughuli gani??? Kuliko kuleta ujinga wako!
Executive order ya rais ni sheria. Rais anayewapenda wamachinga alitoa amri wasilipishwe ushuru uliokuwa unawapa kero. Kulipa mia tano kila siku na kulipa 20000 kwa mwaka kipi bora?
 
Back
Top Bottom