Nakusihi eeeh rais wa Tanzania Mtarajiwa Ndugu Tundu Lisu, kwenye kampeni zako gusia na Michezo, huku kuna wapiga kura wengi sana. Ningeshauri Sera yako iwe kwamba Timu yoyote itakayofuzu kwenye mashindano ya kimataifa ( Iwe timu ya Taifa au club) basi liwe ni jukumu la serikali kuihudumia timu hiyo paka mashindano yatakapoisha.
Hapo lazima ule kura za kumwaga rais wangu.
 
Tukiwa na katiba mpya yote yatajibiwa humo(yatabebwa)
 
Hata Magu alijaribiwa. Tuambie Magu alikuwa Rais wa nchi ipi 2015?
 
Kwani Magu alikuwa rais tangu kuzaliwa? Si alianzia mahala? Fikiria nje ya sanduku mkuu.
 
Hakika umeongea pointi kubwa sana Hoja yako ni nzuri sana.

Matanga wanaumia sana wakisikia hivi.

Ni YEYE 2020
 
Tafadhali Mh Lisu, Rais mtarajiwa hebu ibebe hii kitu.....au kama kuna watu wake wakaribu basi mfikishieni huu ujumbe
 
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Ndugu ukiangalia vizuri watu kama wamanyamaza hivi nazani wana jambo wanataka kulisema ila wanasita.

Maeneo mengi hasa kwa wanaccm wanalalamika ila KM bwana Bashiru katoa onyo wanaccm wasaliti jichungeni hakuna mwanachama maarufu kuliko ccm yenyewe. Ila ukimya wenu Mimi kama Reykijaviki unaniogopesha mnaweza fanya jambo ambalo sio la kawaida mkakiacha chama vipandevipande tafadhali msifanye hivyo, kwa vile kura ni siri basi mnaweza kufanya mambo yenu sirini kuliko kujitokeza kuipinga ccm hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…