Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Hatuwataki wakoloni weusi, tupeni uhuru wetu kamili hatukudai uhuru ili tuwakabidhi wahuni wachache halafu watunyanyase hapaHatuko tayariii kurudisha ukoloni mamboleo. Tutawagalagaza October asubuhii saanaa.
Hatuko tayariii kuuza inchi kwa mtu alietengeneza kiki za miujizaa ili apewe uraisi kama kifuta machoziii. Mabeberu watafute inchi zingineHatuwataki wakoloni weusi, tupeni uhuru wetu kamili hatukudai uhuru ili tuwakabidhi wahuni wachache halafu watunyanyase hapa
Hao wengine waliotengeneza hizo "kiki" mnazoita wako wapi? Ben Saanane, Gwanda....! Uzuri wote tutakufa na hamtaenda huko na mapesa yenu mnayolimbikiza, mtaenda kukutana huko na hao mnaowapoteza wakati mnajua wanasema ukweli. Mnawaita mabeberu na mnawategemea karibia kila kituHatuko tayariii kuuza inchi kwa mtu alietengeneza kiki za miujizaa ili apewe uraisi kama kifuta machoziii. Mabeberu watafute inchi zingine
Kwa vyovyote vile, haturudi nyumaa uraisi sio kifuta machoziiiHao wengine waliotengeneza hizo "kiki" mnazoita wako wapi? Ben Saanane, Gwanda....! Uzuri wote tutakufa na hamtaenda huko na mapesa yenu mnayolimbikiza, mtaenda kukutana huko na hao mnaowapoteza wakati mnajua wanasema ukweli. Mnawaita mabeberu na mnawategemea karibia kila kitu
Eti "Kwa vyovyote vile" Siku zenu zinahesabika mkapigiwe kura na madaraja yenuKwa vyovyote vile, haturudi nyumaa uraisi sio kifuta machoziii
Tutaipigania taifaa letu kwa kila ainaa ya mapambanooo, mabeberu mumekula hela zao tutawagalagaza asubuhiii na mapemaa hiyo October tuone mtafanyanini na hao jamaaa zenuuuEti "Kwa vyovyote vile" Siku zenu zinahesabika mkapigiwe kura na madaraja yenu
Hampiganii Taifa mnapigania Chama tunawajuaTutaipigania taifaa letu kwa kila ainaa ya mapambanooo, mabeberu mumekula hela zao tutawagalagaza asubuhiii na mapemaa hiyo October tuone mtafanyanini na hao jamaaa zenuuu
Kwa vyovyote vile ilimuladi tuliokoe taifa letu dhidi ya mabeberu waliotengeneza kiki za miujiza ili waje watutawale kwa neocolonialism.Hampiganii Taifa mnapigania Chama tunawajua
😁😁View attachment 1578777
Eti hawa viongozi wote wamepita bila kupingwa, oneni aibu.
Lakini mnazikopa tena bila ridhaa.Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,
Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
Nyie wenye Sera nzurib mbona mmepora korosho za wananchi mmekula hell ya wahanga was tetemeko na ajali ya meli ukereweSera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,
Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.
Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
Jiulize miaka Zaid ya 50 Nchi yenye kila aina ya rasilimali ili stahiki watoto kusomea chini? Kukosa maji safi?kukosa huduma za afya? Hivi sera zenu nzuri zimemsaidia nini Mtanzania zaid ya ufukara?Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,
Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.
Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
Hakuna mwanasiasa wa upinzani yupo hapo alipo kwa kunadi vyema sera za upinzani bali kwa kupiga porojo,Nyie wenye Sera nzurib mbona mmepora korosho za wananchi mmekula hell ya wahanga was tetemeko na ajali ya meli ukerewe
ALIKUJA NA KIHEREHERE CHA KUNADI KIKI ZA MIUJIZA AKIDHANI KERO YA WATANZANIA NI HIZO KIKI ZA MIUJIZAA, ANATIA HURUMAA, MAANA JAMAA INJE YA KIKI, NIMWEUPE KICHWANIKatika mambo yanayonifurahisha kwenye uchaguzi huu ni umahiri wa Tundu Lissu.
Anaanika upuuzi wa CCM huku akisema ataurekebisha vipi kwenye ilani yake. Kwa upande wa CCM hawapendi aina hii ya kampeni na wameshaonyesha taharuki...
Usiniambie ni sera mbovu kwa nyomi hiyo ya watu .Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba watanzania wote hao ni wajinga kufuata sera mbovu?Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,
Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.
Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,
Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.
Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.