MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Ndio maana ya Katiba Mpya! Hakuna namna yo yote huu ufisadi uliokubuhu (hadi kumshawishi mama first lady mstaafu kutamani kazi ya kugonga meza Dodoma) unaweza kufutiliwa mbali bila kufumua mfumo wa sasa. Kama waTz hasa vijana ambao mustakabali wa maisha yao hunahusika wangekuwa na uelewa wa kutosha wangeunga mkono ajenda ya Katiba Mpya.Kwa kifupi sana.
Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?
Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.
Maendeleo hayana vyama!