Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Kwa kifupi sana.

Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?

Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
Ndio maana ya Katiba Mpya! Hakuna namna yo yote huu ufisadi uliokubuhu (hadi kumshawishi mama first lady mstaafu kutamani kazi ya kugonga meza Dodoma) unaweza kufutiliwa mbali bila kufumua mfumo wa sasa. Kama waTz hasa vijana ambao mustakabali wa maisha yao hunahusika wangekuwa na uelewa wa kutosha wangeunga mkono ajenda ya Katiba Mpya.
 
Kwa kifupi sana.

Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?

Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
Ninacho wakubali wanasiasa watagombana ,watatofautiana kwenye maswala mengine lkn kwenye maslahi na posho zao wanakuwaga wamoja.

Mpaka unashangaaa........😀😀
 
Kwa kifupi sana.

Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?

Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
Naona ushamkubali kushinda uchaguzi sasa unataka kujua kama atalifanikisha hilo jambo.

Safari bado ngumu bwashee.
 
eti ametetea nn? nkikumbuka zile makinikia, corona! sina ata ham ya kumskia, nashangaa watu wasiojulikana kwann walienda tafaut na maelezo, najua safari hii baada ya uchaguzi hawatakosea tena
Halafu mtasema nyinyi ni Wazalendo kwa Taifa hili? Nyinyi mnajali Chama zaidi kuliko Taifa, huwezi kufurahia kitu kama kile kwa Mtanzania mwenzako ikiwa kweli unao ubinadamu ndani yako.
 
Unajua kila Mwaka ukipandisha Mishahara na Mfumuko wa bei nao lazima upande, kwa hiyo maumivu yatabaki palepale, cha msimgi ni kudhibiti Mfumuko wa bei basi!!
Ni kweli lakini serikali imeshindwa kuthibiti mfumuko wa bei, bei inaongezeka kila siku haswa kwa vitu muhimu. Nitakupa mfano halisi mwaka 2016 nilinunua mfuko wa Saruji kwa shilingi elf 16,000/= , leo 2020 mfuko huo huo unauzwa kwa shilingi elf 21,000/= eneo hilo hilo.

Nondo mm12, nilinunu elf 17,000/= leo 2020 inauzwa elfu 22,000/= . Sukari kg 1 nilinunua elf 1600/= leo 2020/sukari inauzwa elfu 2700/=>chumvi pakti moja ipo iliuzwa shilingi 200/= pakti hiyohiyo leo inauzwa shilingo 600/= lakini kuanzia February 2017 serikali ilipunguza mishahara ya baadhi ya watumishi ambao ni wanufaika wa Bodi ya mikopo kwa kuwaongezea kiwango cha makato kutoka 8% hadi 15%. Ukiyatafakari haya kwa umakini unaona jinsi gani serikali inavyokosea katika kipengele cha Maslahi ya watumishi wa umma.
 
Ndo kushindwa kwenuu kwenye ulingo wa siasaaa
Mmeshindwa kuongoza nchi hii, muondoke hatuwataki, kikundi fulani tu cha wapigaji nyinyi hamna lolote, haki zetu lakini mnataka tuwanyenyekee kama mnatupa bure, nyinyi ndio mnawagombanisha Polisi na wananchi, mnalindana hamna chochote, Wazalendo wa chama chenu na sio Nchi yetu Pendwa.
 
Halafu mtasema nyinyi ni Wazalendo kwa Taifa hili? Nyinyi mnajali Chama zaidi kuliko Taifa, huwezi kufurahia kitu kama kile kwa Mtanzania mwenzako ikiwa kweli unao ubinadamu ndani yako.

Uliona yaliomkuta moshi lakini? huo mdomo asipojifunza kuongea sensible things tutamsaidia kuufunga mazima!
 
uliona yaliomkuta moshi lakini? huo mdomo asipojifunza kuongea sensible things tutamsaidia kuufunga mazima!
Nyinyi mtakaa milele Kwenye hii Dunia? Ndio maana hata mkifa mnaliliwa na ndugu zenu tu na sio Taifa sababu ni viongozi msio na utu, kabisa unaamuru Binadamu mwenzako auwawe, we utaishi milele? Si mnakufa na kuacha kila kitu hapa.
 
Mmeshindwa kuongoza nchi hii, muondoke hatuwataki, kikundi fulani tu cha wapigaji nyinyi hamna lolote, haki zetu lakini mnataka tuwanyenyekee kama mnatupa bure, nyinyi ndio mnawagombanisha Polisi na wananchi, mnalindana hamna chochote, Wazalendo wa chama chenu na sio Nchi yetu Pendwa.
Hatuko tayari kuiachia inchi kwa mawakala wa mabeberuu. Ikulu hamtakanyaga. Haaa haaa. Mumeingia mikataba nao wawasaidie kushinda uraisi halafu muwape madinii. Sasa tutawagaragaza nyinyi na mabeberu wenuuu. Nahamtufanyi loloteee.
 
Hamko tayari nyinyi kama nani acheni kutulazimisha, uongozi umewashinda mmebaki kupiga madili tu, mnataka kubaki kwa lazima sababu mmefanya madudu hamtaki yaonekane! Mabeberu ni kina nani? Na hawa ambao Baba wa Taifa alikufa akiwa kwao?

Ni hawa ambao miradi mingi wanaifanya hapa kwetu ya ujenzi na kutoa huduma mbali mbali na zingine tunafuata wenyewe? Ni hawa ambao mnataka Tz iwe kama "Ulaya" ni hawa ambao mnakopa kwao?

Ni hawa ambao mnadai mmeongeza balozi zao hapa, si mfunge basi muwaambie waondoke? Ni hawa ambao mkiugua mnakimbilia kwao toka zamani? Ni hawa ambao mliingia nao mikataba ya kuchimba madini yetu? Ni hawa ambao mindege yenu mmenunua toka kwao?

Ni hawa ambao mmepeleka mabalozi kwao na wako huko mpaka leo? Ni hawa mnaodai mnawavutia waje kuwekeza na kufanya utalii nchini? Msitake kuwasingizia hao jamaa nyinyi mmeshindwa kuongoza nchi pisheni wanaoweza waongoze, ni bora hao kuliko nyinyi wakoloni weusi mnaotulazimisha mtuongoze na hatutaki.
 
Hamko tayari nyinyi kama nani acheni kutulazimisha, uongozi umewashinda mmebaki kupiga madili tu, mnataka kubaki kwa lazima sababu mmefanya madudu hamtaki yaonekane! Mabeberu ni kina nani? Na hawa ambao Baba wa Taifa alikufa akiwa kwao? Ni hawa ambao miradi mingi wanaifanya hapa kwetu ya ujenzi na kutoa huduma mbali mbali na zingine tunafuata wenyewe? Ni hawa ambao mnataka Tz iwe kama "Ulaya" ni hawa ambao mnakopa kwao? Ni hawa ambao mnadai mmeongeza balozi zao hapa, si mfunge basi muwaambie waondoke? Ni hawa ambao mkiugua mnakimbilia kwao toka zamani? Ni hawa ambao mliingia nao mikataba ya kuchimba madini yetu? Ni hawa ambao mindege yenu mmenunua toka kwao? Ni hawa ambao mmepeleka mabalozi kwao na wako huko mpaka leo? Ni hawa mnaodai mnawavutia waje kuwekeza na kufanya utalii nchini? Msitake kuwasingizia hao jamaa nyinyi mmeshindwa kuongoza nchi pisheni wanaoweza waongoze, ni bora hao kuliko nyinyi wakoloni weusi mnaotulazimisha mtuongoze na hatutaki.
Hatuko tayariii kurudisha ukoloni mamboleo. Tutawagalagaza October asubuhii saanaa.
 
Back
Top Bottom