Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema

Kakojoe ulale.
 
Ni kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?

Maria Sarungk alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.
mdahalo na mwanasheriatu aliyezoea kuongea kwenye corti ni kutaka tu sijui nin.mim ni chadema ila nasema ilani yetu haielewek eleweki yaan
 
Mwaka kila kada wa chama anaongea kuhusu lisu iwe vijiweni, Barabarani , Ofisini mpaka mtandaoni, Ukichunguza vizuri unagundua kizuri ndicho kinauliziwa, Kibaya chajitembeza.
 
Mwambieni Lisu aeleweke Kwanza kwa wananchi mikutanoni asisubiri midahalo kazi kubwa iko kwenye kampeni Sio midahalo
kuna mgombea yey kwenye kampeni anahaidi vyeo tu mara flani ntampangia kazi nyingine mara msvyeo yako mengi

upuuzi tu
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Tundu Lissu shikilia hapo hapo baba - wameanza kulia huku, umewakamata kunako!!
 
Nimezoea majina ya kikatoliki jina la Lisu haliko kwenye majina ya watakatifu Ni la kipagani kukosea kuandika jina la kipagani Sio kosa kwa Mungu
Ona mjinga huyu! Lissu ni jina la ukoo wa kiafrika linahusianaje na ukatoliki?
Ni sawa na Magufuli nalo ni jina la kiafrika kiukoo linalopatikana huko Burundi utalihusishaje na ukatoliki?
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Akili ndogo hujadili mtu, akili kubwa hujadili Sera. Kazi wanayo.
 
Nitajitahidi nimjue ni Kiongozi gani wa CCM alikubali kabisa uwe ni mwana CCM hadi ukapewa na Kadi vile vile. Unakiaibisha sana Chama cha CCM.
That's my hero GENTAMYCINE !
Umeamua kumpa za uso mtu ajionaye anajua kumbe ni mbumbumbu. Hakika watu wa aina ya YEHODAYA ndio wanaofanya CCM kionekane chama cha wajinga
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Kama mnataka huyo mchoma nyavu asisemwe mambieni ajiondoe kwenye uchaguzi najuwa kwanini hamtaki asemwe kwakua mnamjuwa jiwe nimchafu ilikuwaonyesha huyu jiwe simtupoa lazima atajwe lakini kunakitunakisikia humu kinaitwa matusi hembutuyaangalie hayomnayoyaita matusi
1 Uhuru haki namaendeleo yawatu
2 katiba mpya
3 kuwalipa waliondolewa kazini bilastahiki zao
4 walio chomewa nyavu kimakosa nakubomolewa nyumbazao kimakosa nawahanga wengine serekali yake itawalipa iwapo akichaguliwa
5 kuwatoa mashehe wote waliondani ambaomisingiyakuwekwa ndani niuonezi mkubwa
Sasa hapokatukana wapi hayondomatusi kweli watanzania wenzangu?
 
Huoni kwamba ni muda sasa wa kukishauri chama chako kikubali mdaharo ili Lisu aumbuke?
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Alikuwepo mwenzio humu "Kawe Alumni" kakimbia bado wewe usituletee upuuzi wako hapa.
 
Kama mnataka huyo mchoma nyavu asisemwe mambieni ajiondoe kwenye uchaguzi najuwa kwanini hamtaki asemwe kwakua mnamjuwa jiwe nimchafu ilikuwaonyesha huyu jiwe simtupoa lazima atajwe lakini kunakitunakisikia humu kinaitwa matusi hembutuyaangalie hayomnayoyaita matusi
1 Uhuru haki namaendeleo yawatu
2 katiba mpya
3 kuwalipa waliondolewa kazini bilastahiki zao
4 walio chomewa nyavu kimakosa nakubomolewa nyumbazao kimakosa nawahanga wengine serekali yake itawalipa iwapo akichaguliwa
5 kuwatoa mashehe wote waliondani ambaomisingiyakuwekwa ndani niuonezi mkubwa
Sasa hapokatukana wapi hayondomatusi kweli watanzania wenzangu?
Kwa kukariri nakupa hongera. Ukiambiwa ufafanue kwa ushahidi usio na mashaka utabaki kuduwaa
 
Back
Top Bottom