Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ni kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Maria Sarungi alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.