Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Ni kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?

Maria Sarungi alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.
 
Ni kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?

Maria Sarungk alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.
Mwambieni Lisu aeleweke Kwanza kwa wananchi mikutanoni asisubiri midahalo kazi kubwa iko kwenye kampeni Sio midahalo
 
Uwezo wa Lisu niliupima pale alipo kua kinara wa kutangaza Lowasa fisadi alafu Lowasa alipo amia Chadema akadai Lowasa si fisadi kwakua alisingiziwa.
IQ yake Ndogo na msimamo Hana
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Hahahaha
Komaa waweza kuokoa jahazi la Jiwe linalozama kwa kasi ya SGR.
 
Sisi ndio wananchi wenyewe tunaotaka mdahalo ili mzee wa PhD amwoneshe maujuzi Lissu.
SEMA wewe binafsi usiseme wananchi. ulikutana nao wapi kikao Cha wapi wakakuchagua wewe kuwa msemaji wao? Minutes za kikao ziko wapi?
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema

Hivi anaitwa Lisu kama ulivyoandika Wewe hapa au anaitwa Lissu? Kabla ya Kuanza 'Kumshambulia' Mtu na Wewe unatakiwa uwe vyema Kichwani.
 
Yehodaya. Lissu uwezo wake wa kujieleza ni mkubwa, hata tangu wakiwa wabunge na ndani ya sheria.

Maghufuli kiingereza si kosa kwani ndiye Rais anayepingwa asiendelee. Hivyo kuelezea his weakness ni sehemu ya campaign.
 
Hivi anaitwa Lisu kama ulivyoandika Wewe hapa au anaitwa Lissu? Kabla ya Kuanza 'Kumshambulia' Mtu na Wewe unatakiwa uwe vyema Kichwani.
Nimezoea majina ya kikatoliki jina la Lisu haliko kwenye majina ya watakatifu Ni la kipagani kukosea kuandika jina la kipagani Sio kosa kwa Mungu
 
Mwambieni Lisu aeleweke Kwanza kwa wananchi mikutanoni asisubiri midahalo kazi kubwa iko kwenye kampeni Sio midahalo
Kweli kabisa na kura nyingi zinapatikana kwenye jamii siyo kwenye midahalo
 
Nimezoea majina ya kikatoliki jina la Lisu haliko kwenye majina ya watakatifu Ni la kipagani kukosea kuandika jina la kipagani Sio kosa kwa Mungu

Nitajitahidi nimjue ni Kiongozi gani wa CCM alikubali kabisa uwe ni mwana CCM hadi ukapewa na Kadi vile vile. Unakiaibisha sana Chama cha CCM.
 
Niseme hivi.... Mr Yehodaya popote ulipo harakisha urudi nyumbani utoe huduma.Na uhakika una muda hauko nyumbani. Huyu Mrs wako (kazidiwa) mahaba kwa lissu. Akiguswa tu imekula kwako. Naamini ni member humu, Rudi nyumbani utusaidie mzee dah!
 
Sasa unamwambia binti alishazoea kudanga pale LUMUMBA [emoji1]
 
Niseme hivi.... Mr Yehodaya popote ulipo harakisha urudi nyumbani utoe huduma.Na uhakika una muda hauko nyumbani. Huyu Mrs wako (kazidiwa) mahaba kwa lissu. Akiguswa tu imekula kwako. Naamini ni member humu, Rudi nyumbani utusaidie mzee dah!
Mkizidiwa hoja nyie Chadema na Lisu wenu mnajificha udhaifu wenu kwenye matusi Ona sasa mumehama kwa Magufuli mnaniporomoshea matusi Mimi
 
Back
Top Bottom