Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hatuwataki wakoloni weusi, tupeni uhuru wetu kamili hatukudai uhuru ili tuwakabidhi wahuni wachache halafu watunyanyase hapa
Hatuko tayariii kuuza inchi kwa mtu alietengeneza kiki za miujizaa ili apewe uraisi kama kifuta machoziii. Mabeberu watafute inchi zingine
 
Hao wengine waliotengeneza hizo "kiki" mnazoita wako wapi? Ben Saanane, Gwanda....! Uzuri wote tutakufa na hamtaenda huko na mapesa yenu mnayolimbikiza, mtaenda kukutana huko na hao mnaowapoteza wakati mnajua wanasema ukweli. Mnawaita mabeberu na mnawategemea karibia kila kitu
 
Kwa vyovyote vile, haturudi nyumaa uraisi sio kifuta machoziii
 
Katika mambo yanayonifurahisha kwenye uchaguzi huu ni umahiri wa Tundu Lissu.

Anaanika upuuzi wa CCM huku akisema ataurekebisha vipi kwenye ilani yake. Kwa upande wa CCM hawapendi aina hii ya kampeni na wameshaonyesha taharuki.

Mfano halisi tumewasikia wakija na propaganda eti Lissu anatumia lugha za uchochezi!
 
Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,

Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.

Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
 
Nyie wenye Sera nzurib mbona mmepora korosho za wananchi mmekula hell ya wahanga was tetemeko na ajali ya meli ukerewe
 
Jiulize miaka Zaid ya 50 Nchi yenye kila aina ya rasilimali ili stahiki watoto kusomea chini? Kukosa maji safi?kukosa huduma za afya? Hivi sera zenu nzuri zimemsaidia nini Mtanzania zaid ya ufukara?
# NI YEYE
 
Nyie wenye Sera nzurib mbona mmepora korosho za wananchi mmekula hell ya wahanga was tetemeko na ajali ya meli ukerewe
Hakuna mwanasiasa wa upinzani yupo hapo alipo kwa kunadi vyema sera za upinzani bali kwa kupiga porojo,

yaani ukiwa bingwa wa porojo ndivyo unavyozidi kujiongezea umaarufu kwa bahati mbaya ndio aina ya siasa tuliyonayo na ambayo imeletwa kwetu na wanasiasa hawa wa upinzani.
 
Tundu Lissu katungezea t ujasiri wa kukataa manyanyaso, uonezi na mateso ya Miaka 5 iliyopita...watanzania wote tufanye maasi kupitia sanduku la kura 28/10 /2020

Hata uwe mtu wa karibu vipi na JPM, usmpigie kura! Huyu mzee katutesa kuliko wakoloni...!? Aende zake
 
Katika mambo yanayonifurahisha kwenye uchaguzi huu ni umahiri wa Tundu Lissu.

Anaanika upuuzi wa CCM huku akisema ataurekebisha vipi kwenye ilani yake. Kwa upande wa CCM hawapendi aina hii ya kampeni na wameshaonyesha taharuki...
ALIKUJA NA KIHEREHERE CHA KUNADI KIKI ZA MIUJIZA AKIDHANI KERO YA WATANZANIA NI HIZO KIKI ZA MIUJIZAA, ANATIA HURUMAA, MAANA JAMAA INJE YA KIKI, NIMWEUPE KICHWANI
 
Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,

Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.

Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
Usiniambie ni sera mbovu kwa nyomi hiyo ya watu .Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba watanzania wote hao ni wajinga kufuata sera mbovu?
 
Sera za Chadema ni mbovu hazina mvuto haziwezi kujiuza zenyewe,

Mambo mengi wanayoyaahidi hayatekelezeki yanafaa kubakia tu kwenye makaratasi.

Ndio maana ili kuzipa nguvu sera hizo mbovu lazima jamaa aponde kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Back
Top Bottom