Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Inathibitisha kuwa kwenye reli umemuelewa na umemgundua yule muongo wa taifaHuyu mkuu wa mkoa dogo juma homera anatetea kitumbua chake, ajibu na mengine ikiwemo na kutoongeza mishahara watumishi wa umma na kutekana hovyo
Kuna mambo wanasiasa huwa wanasema utafikiri huwa wanaambia mbuzi na sio watu mwanasiasa unawaambia watu kuwa utafuta kodi halafu mwisho wa kuongea hayo unaanzisha kodi nyingine mpya kabisa ya kuchangia kampeni.
Tundu Lissu anaponda serikali ya CCM kwa ukusanyaji kodi mwingi ili tuweze kujenga nchi sababu anaona ni kama unyonyaji, sasa ningependa kumuuliza kama anaamini bila michango ya wanachama wake hawezi kufanya kampeni kwanini anaamin bila kodi za Wananchi anaweza kuijenga nchi?
Kwaio hoja ya kod sio ya maana kwenu chademBadala mdeal na Hoja za maana mnaanza kuleta upumbavu... mtataftiza sana viroja vya kubomoa HOJA KONKI toka kwa mwanasheria msomi mwenye akili zake aliepita special schools toka olevel lakini hamta weza kwa kuwa nyie ni vilaza tu pum**bav zenu
Sifa za Brunei ni zipi tofauti na nchi nyingine mpaka hawalipi kodi?Brunei
Bajeti ya Ndugai kutibiwa India ni sawa na 20% ya bajeti iliyopelekwa kwenye wizara ya kilimo!Ndugai ndio mgonjwa ghali zaidi duniani kwa sasa!Kwan alie amua mbowe achukuliwe ndege aende Dar kufungwa hogo kwenye mguu ulio teguka ni Nan??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Embu tuambie utofaut wa kodi na mchango kwa mtoaji na mpokeaji pia Na kazi ya mchango na kod utofaut wake [emoji1787]Jinga jingine la CCM haliwezi hata kutenganisha kati ya kodi na mchango kwake vyote ni kodi tu hajui hata kodi ziko nyingi na aina nyingi hadi kufanya walipaji kukwepa kulipa kwa sababu siyo rafiki. Kiongozi mzuri atapunguza kodi ziwe rafiki kwa mlipaji ili wengi wavutiwe kulipa bila shuruti makusanyo ya mapato ya Serikali yataongezeka. Mtu akikwita wewe ni CCM atakuwa amekutukana tusi la nguoni!
Siasa zinazofanywa na wagombea wa CHADEMA na ACT ni kithibitisho tosha kuwa hawafai! hawafai! kukabidhiwa nafasi za uongoziKuna mambo wanasiasa huwa wanasema utafikiri huwa wanaambia mbuzi na sio watu mwanasiasa unawaambia watu kuwa utafuta kodi halafu mwisho wa kuongea hayo unaanzisha kodi nyingine mpya kabisa ya kuchangia kampeni.
Tundu Lissu anaponda serikali ya CCM kwa ukusanyaji kodi mwingi ili tuweze kujenga nchi sababu anaona ni kama unyonyaji, sasa ningependa kumuuliza kama anaamini bila michango ya wanachama wake hawezi kufanya kampeni kwanini anaamin bila kodi za Wananchi anaweza kuijenga nchi?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu serikali INA makampuni yake sasa Chadema hamtaki serikali iwe na kampuni zake ikijenga SGR ili ziingize kodi hamtaki iijenga bwawa LA umee stigler ili iuze hamtaki serikali ikinunua ndege hamtaki sasa mkiondoa kodi nchi mtaendeshajeBrunei