Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By the way wana ccm ,act,cuf,chadema na wengineo ni watz na ni ndugu taifa moja.Ugumu wa maisha,taabu na mateso ni kwa wote.Mimi si mwandishi muzuri! Napenda kuwajulisha ukweli mchungu usiozungumzwa popote kwa woga wa kupoteza au kupotea kuwa kati ya 100% ya wana CCM salio jinsi kisha na watakaopiga kura, 90% watampigia Lissu wa yupinzani, sababu chache ni hizi:
Moja, Magufuli aliua njia zao za kujipatia rizki! Wengi wakajenga visasi na wakakosa pa kuyasemea haya sasa watakua sema kwa vitendo
Pili, Suala la ununuzi wa Wapinzani kisha kuwapa madaraka huku wenyeji wakitolewa kauli za kishenzi ni uthibitisho mzuri mwingine, munamkumbuka Shonza? Unajua alitoka wapi?
Tatu, Kuwachagua watu wenye vinasaba naye vya kiukoo au kiukabila! Huku wengi kuwaacha wakiwa wanakufa njaa.
Nne, Kuwaweka watu anaowataka yeye kuwa Wagombea ubunge na kuwaacha ware waliochaguliwa kihalali na Wajumbe.
Tano, Dharau zinazooneshwa waziwazi na top layer leadership kwamba wao wanatosha kukiongoza chama chetu.
Unaweza kuyaongeza kadiri umavyokumbuka
Bila kusahau wasira,ngereja,Lowasa na maigeUkiniambia hawa wanaCCM damu wafuatao watakwenda kupigia kura Magufuli kwa moyo mkunjufu, utakuwa wewe mwenyewe unaonekana kioja:
1. Nape Nappy
2. Kamba Makamba wote wawili
3. Kinaina
Weka na wengine wenye 'principles' na sio wanazi wa kizembe kama akina Warioba, Butiku na watu wa aina yao wengi tu
Watakaolazimika kumpigia kura Magufuli, ni hao wanaofaidika moja kwa moja na uteuzi wanaoupata kama akina Popole, Bushiu, Bashite...n.k.
Huu mchezo wa huyu mtu umekwisha haraka sana kuliko nilivyotegemea itakuwa. Kazi iliyobaki sasa ni kuhakikisha kura hazivurugwi.
Haswaaa 😊😊😊 miongoni mwao Ni hawaMimi si mwandishi muzuri! Napenda kuwajulisha ukweli mchungu usiozungumzwa popote kwa woga wa kupoteza au kupotea kuwa kati ya 100% ya wana CCM salio jinsi kisha na watakaopiga kura, 90% watampigia Lissu wa yupinzani, sababu chache ni hizi:
Moja, Magufuli aliua njia zao za kujipatia rizki! Wengi wakajenga visasi na wakakosa pa kuyasemea haya sasa watakua sema kwa vitendo
Pili, Suala la ununuzi wa Wapinzani kisha kuwapa madaraka huku wenyeji wakitolewa kauli za kishenzi ni uthibitisho mzuri mwingine, munamkumbuka Shonza? Unajua alitoka wapi?
Tatu, Kuwachagua watu wenye vinasaba naye vya kiukoo au kiukabila! Huku wengi kuwaacha wakiwa wanakufa njaa.
Nne, Kuwaweka watu anaowataka yeye kuwa Wagombea ubunge na kuwaacha ware waliochaguliwa kihalali na Wajumbe.
Tano, Dharau zinazooneshwa waziwazi na top layer leadership kwamba wao wanatosha kukiongoza chama chetu.
Unaweza kuyaongeza kadiri umavyokumbuka
Tulia wewe😊😊😊😊😊 wenzako wankucheka unaharisha pekeako tu🤣🤣🤣Shift, naona umeamua kuja na porojo za vijiweni. Watanzania tunachagua mtu ambaye ataleta maendeleao ya vitu, maendeleo ya vitu yanatumiwa na watu. Ili uweze kuendelea lazima wachache waumie. Wacha tuumie ili wajukuu zetu waje kula mema ya nchi hii. 5 MINGINE KWA JPM. CCM OYEEEEEEEEE
Mimi pia ni mccm. Kura yangu siipeleki lumumba katu.Mimi si mwandishi muzuri! Napenda kuwajulisha ukweli mchungu usiozungumzwa popote kwa woga wa kupoteza au kupotea kuwa kati ya 100% ya wana CCM salio jinsi kisha na watakaopiga kura, 90% watampigia Lissu wa yupinzani, sababu chache ni hizi:
Moja, Magufuli aliua njia zao za kujipatia rizki! Wengi wakajenga visasi na wakakosa pa kuyasemea haya sasa watakua sema kwa vitendo
Pili, Suala la ununuzi wa Wapinzani kisha kuwapa madaraka huku wenyeji wakitolewa kauli za kishenzi ni uthibitisho mzuri mwingine, munamkumbuka Shonza? Unajua alitoka wapi?
Tatu, Kuwachagua watu wenye vinasaba naye vya kiukoo au kiukabila! Huku wengi kuwaacha wakiwa wanakufa njaa.
Nne, Kuwaweka watu anaowataka yeye kuwa Wagombea ubunge na kuwaacha ware waliochaguliwa kihalali na Wajumbe.
Tano, Dharau zinazooneshwa waziwazi na top layer leadership kwamba wao wanatosha kukiongoza chama chetu.
Unaweza kuyaongeza kadiri umavyokumbuka
Lissu Ànatosha mwanakondoo hàkika niyeye.
Sisiemu wana loho mbayaTunaumia wote kwenye Sukari 2600
Mafao Hakuna
Tumefurahishwa sana uungwaji mkono mkubwa wa Lissu kila kona ya nchi. Kwa kweli Lissu ameshashinda kikubwa ni kudhibiti wizi wa kura tu.
Nanukuu mwasilishaji wa huu uzi kipandee...Chadema wa jf kwenye kujifariji mpovizuri.
tukutane October 28 ndo mtajua watanzania hawana utani kwenye sanduku la kura.
Mkuu mwogope mwanasiasa anapokuwa jukwaani.Nampenda lissu kwa kutetea haki. Tunapaswa kuwa na Rais mpenda haki.Mtanzania yeyote ana haki zake ziheshimiwe.
Pia, Utamaduni mpya uliasisiwa na CCM MPYA nchini, yaani utekaji wa watu na ubambikaji wa kesi zisizo na dhamana kwa wananchi wasio na hatiaLissu ni kama vile ameshashinda uchaguzi huu kwa hoja zake 7 ambazo zimepata nguvu na kuaminiwa na jamii. Na hii inajidhihirisha maeñeo mbalimbali ambayo amepita kufanya kampeni.
Lissu ni kama vile mhubiri wa injili, kila eneo analopita shetani anapoteza nguvu na neno linabaki mioyoni mwa watu. Maeneo ambayo bado hajapita ndio yamebaki kuzungumzia habari za CCM, lakini yatakapofikiwa na habari njema ya injili ya wokovu na ubatizo wa maji mengi na wao wataachana na CCM.
Hoja 7 ambazo Lissu zimemwongezea nguvu toka kwa makundi mbalimbali ambazo CCM wamekosa majibu yake
1. Vitambulisho vya wajasiliamali;
Ni hoja ambayo imepokelwa vizuri na watamzania, kila kona.CCm wameshindwa kujibu hadi sasa, wamebaki tu kudema dema kwenye majibu yao kwamba magufuri anawapenda wamachinga, Mara vitambulisho sio lazima ,wakati wamevitungia na sheria tayari. Lissu shikilia hapo hapo kwa mpaka waeleze ni lini wamachinga walioomba wauziwe vitambulisho visivyo na picha wala jina
2. Maslahi ya watumishi, nyongeza ya mshahara.
Hoja ambayo haijajibiwa hadi Leo, na ccm wamekosa majibu wakaeleweka kwa wananchi. . Nyongeza ya mshahara ni takwa la kisheria na sio takwa la mtu . Alisikika Mara moja akisema hajapandisha mshahara ila edhibiti mfumuko wa bei, na akapata majibu yake toka kwa Lissu kwamba bei ya sukari ya 2015 na Leo 2020 ipo sawa, ? "Wananchi hapana" Lissu " anatuambia nini. Baba shikilia hapo hapo wameshalegea na hawana majibu
3. Suala la pension na kiinua mgongo kwa wastaafu
Watu wengi walikuwa gizani na suala lakini baada ya kulitolea maelezo sasa nalo limepata hamasa miongoni kwa watanzania kwamba kuanzia mwakani wastaafu hawatapata pension zao zote baadala yake watapata nusu. Hilo limeonekana kuwa chuki kwa makundi hayo na CCM wameshindwa kutolea majibu ya kueleweka . Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyooka tayari
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato na hifadhi ya wanyama
Hoja hapa sio ujenzi ,hoja inayoonekana hapa ni namna mradi unavyotekelezwa kwa ufisadi mkubwa wa kupeana tenda na Ndugu yake Mayanga . Mpaka Leo hoja hiyo Magufuli na CCM yake wameshindwa kuitolea majibu, kwa nini aingilie mchakato wa tender na kuagiza apewe ndugu yake na watu sasa huku wanasema ni kama mtu ameamua kupitishia di kwa ndugu yake. Amenipigia pasi kwa mbele ,na suala la hifadhi pia ndio hawana majibu kabisa .Baba Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyong'onyea tayari
5. Suala la ununuzi wa ndege
Hii hoja ilianza kwa kasi mwanzoni kunadiwa na ccm lakini baada ya Lissu kuanza kushughurika Nayo wameshakimbia. Lissu amezungumzia masuala ya Faida na mchakato wa ununuzi wa midege hiyo imegubikwa na ufisadi mkubwa na kwamba anayejua ni Magufuri na mjomba wake Dotto James. CCM mpaka Leo wamepoteana na ajenda ya ndege sio ajenda yao tena kwenye kampeni zao.Lissu wabananishe hapo hapo kwenye kona washindwe pa kutokea.
6: Ukosefu wa Ajira kwa makundi mbalimbali
Eneo hili limepata uungwaji mkono mkubwa toka kwa makundi mbali mbali ya vijana. Tangu 2015 ajira zimetolewa kwa walimu wa sayansi na kada za afya. Kada nyingine hazijaguswa kabisa . Hoja yake hapa magufuri imebaki kuwa ni watu wajiajiri wakati yeye mtoto wake Jesca amemwajiri wizara ya mambo ya nje, mwingine amempa RAS iringa .hao walishindwa kujiajiri hadi awaajiri. Watoto wa wanyonge ndio wanaohimizwa kujiajiri. Hapo napo Lissu shikilia hapo hapo pana tija na kundi kubwa la wahanga
7: Waathirika wa vyeti feki
Hii ni hoja ambayo imepata kusemwa na Lissu, kwamba hao walio wa ajiri ni wao ccm na kinachozungumzwa hapa ni watu kufukuzwa kama mbwa bila kupewa mafao yao, ambayo wamechangia kwa miaka mingi halijulikani lilipo enda. Hao ni watanzania wenzetu na sio wakenya wala wamalawi, wamelitumikia na kutufundishia watoto wetu kwa miaka mingi hadi wengine wamekuwa maprofesa. Michango yao ipo wapi kama hawajapewa, Magufuri na ccm yao iliyojaa roho ya kuumiza watu waseme wamepeleka michango yao ya pension waliyokuwa wanachangia kwenye mifuko ya hifadhi
Nashauri Lissu sasa kwa kuwa kwenye miji yote na vijijini amefanikiwa kuiteka sasa ajikite katika kuwaaminisha watanzania ni namna gani walinde kula zao. CCM wamebaki na mbinu moja tu ya kuwategemea wakurugenzi na NEC, ili wawavushe hapo walipo kwenye tope kwenda nchi kavu. Katika hotuba zake sasa ajikite kuwahimiza wananchi kulinda kura zao, hii ngoma imeshaisha . Wakurugenzi na hawa watendaji kata ambao wamepewa maelekezo marafuku kuwatangaza wapinzani kwenye maeneo yao ndio imekuwa mwiba na Wapinzani wasipo jipanga vizuri mwishoni wataumizwa na hao watu.
Ushauri wangu Lissu sasa ajikite katika kulinda kura. Watendaji wa kata si wa kuchekewa na kuendelea kuachwa kwani kwanza ni watu wa chini mno, lakini ni watu ambao wameshapokea vitisho, hivyo inabidi kazi ya ziada ifanyike. Umati kwa umati Huo Huo wanaojaa kwenye mikutano yao wahimizwe pia wawepo hivyohivyo kwenye kulinda kulinda kura zao kwenye vituo vya kata na ofisi za wakurugenzi. Kwa umati ule wa mwanza wakifanikiwa kukaa kwenye kata na ofisi za wakurugenzi kazi itakuwa imeisha.
Kama una hoja nyingine ambayo unaona bado Lissu bado hajaizungumzia ambayo inaweza kuteka mioyo ya watu iweke hapa ,lakini pia unaweza kupendekeza mbinu sahihi ya kulinda kura
Chaaaaao, tuonane 28 oktoba
HOJA HIZO ZINAWAGUSA WATANZANIA WENGI WANAONYANYASWA NA WERIKALI ONEVULissu ni kama vile ameshashinda uchaguzi huu kwa hoja zake 7 ambazo zimepata nguvu na kuaminiwa na jamii. Na hii inajidhihirisha maeñeo mbalimbali ambayo amepita kufanya kampeni.