Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hivi karibuni Lissu alipozungumza na waandishi wa habari kabla ya kurudisha fomu alithibitisha kutetea ushoga kwa kisingizio kuwa katiba ya Tanzania inatambua haki ya faragha hivyo kinachofanyika ndani ya vyumba sio jukumu la serikali kujua.
Alithibitishaje??? Tuwekee video hapa
 
Sasa kwa maneno hayo ya Lissu ambayo kimsingi ndio anayoyaongea kote anakopita, wapi kakengeuka taratibu za uchaguzi? Mbona anaongelea haki haki haki kila dakika?!! Jamani mbona hiyo tume inatuweka kwenye mitego hivi? Mbona wao sasa ndio wanawachokoza Watanzania?
 
Mungu mkuu amuongezee maisha marefu mh Tundu Lissu. Ni jasiri mmoja aliyejitoa mhanga kuwatetea mamilioni walioumizwa katika kipindi cha miaka mitano. Inahitaji roho ya chuma kufanya anayofanya Mheshimiwa Tundu Lissu. Pamoja na madhila yote aliyopata, jemedari huyu hajakata tamaa kuendeleza harakati za kuhakikisha misingi ya haki na utawala bora inatamalaki katika nchi yetu pendwa ya Tanzania.

Rai yangu kwa viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wabunge wa CHADEMA na wapenda haki wote wazidi kumuunga mkono Mteule huyu wa Mungu ili ukweli wa kurejesha haki ukubaliwe na watawala madhalimu wa awamu hii ya tano.

MUNGU MBARIKI TUNDU LISSU, MUNGU UBARIKI UCHAGUZI MKUU, MUNGU WEZESHA USHINDI KWA TUNDU LISSU.
 
Wafanya biashara kutoka Tanzania wanaenda Kampala kununua mizigo hiyo hiyo iliyopitia bandari ya Dar es Salaam halafu inalipiwa ushuru ikiingizwa Tanzania na bado wafanyabiashara wanatengeneza faida pamoja na kulipia gharama za usafirishaji toka Kampala mpaka Dar.

Naomba iandaliwe sms alafu itumwe kwa watu kila mtu atume kwa watu kumi tu kwaajili ya kuelezea sera za lissu kwanini awe Raisi na mzee baba asiwe Rais. Hiyo isambazwe.
Wazee wa Information Technology waingie kazini
 
Mungu mkuu amuongezee maisha marefu mh Tundu Lissu. Ni jasiri mmoja aliyejitoa mhanga kuwatetea mamilioni walioumizwa katika kipindi cha miaka mitano. Inahitaji roho ya chuma kufanya anayofanya Mheshimiwa Tundu Lissu. Pamoja na madhila yote aliyopata, jemedari huyu hajakata tamaa kuendeleza harakati za kuhakikisha misingi ya haki na utawala bora inatamalaki katika nchi yetu pendwa ya Tanzania.

Rai yangu kwa viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wabunge wa CHADEMA na wapenda haki wote wazidi kumuunga mkono Mteule huyu wa Mungu ili ukweli wa kurejesha haki ukubaliwe na watawala madhalimu wa awamu hii ya tano.

MUNGU MBARIKI TUNDU LISSU, MUNGU UBARIKI UCHAGUZI MKUU, MUNGU WEZESHA USHINDI KWA TUNDU LISSU.
Kabisa na iwe hivyo Lissu ni jasiri wa kipekee sana.
 
NEC ya Mahera mteule wa Magufuli inaonekana haijitambui na imechanganyikiwa[emoji1787][emoji1787]
NEC Hawajui kuwa Wana-deal na Wakili MSOMI na nguli wa Sheria Tanzania.....!!!
Tena sijui bora na Kaijage huyu Mahera ukereketwa unamsumbua tangu akiwa ded Arusha.
 
Nimesikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenye Kampeni zake mkoani Mara Hakika hakamatiki!!
Ili kumshinda Lissu kwenye Sanduku la kura itabidi CCM waibe vile hawajawahi kuiba tangu mfumo wa multipartism uanze.....!!!

UPUIZI MTUPU
 
Naomba iandaliwe sms alafu itumwe kwa watu kila mtu atume kwa watu kumi tu kwaajili ya kuelezea sera za lissu kwanini awe Raisi na mzee baba asiwe Rais. Hiyo isambazwe.
Wazee wa Information Technology waingie kazini
Ivi unafikili Nchi INA wavivu watupu kama BAVICHA Kwamba watu hawana Kazii ..... Wafanye hii kazi isiyo na Faida
 
Back
Top Bottom