Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Kama tuna uhakika kwa soko la nje kwa high value crops kama mbogamboga, matunda hali kàdhalika minofu ya nyama na samaki; iko haja kuwa na ndege za mizigo kwa masoko ya mashariki ya kati na Ulaya.Sera za kuongeza mdege tano. Yaani hapo kajitahidi kubadili upepo wa kampeni.😀😀
Niweke wazi tu ili kuwa na kumbukumbu sawa, serikali kununua ndege, kujenga SGR, barabara na Nyerere Hydropower Dam, lazima iwekeze kwa watu wake kwa kutoa mikopo ya uwekezaji (investment project financing) kwenye agro-processing/manufacturing ili kufanya uzalishaji utumia umeme na miundombinu ili kurehesha fedha za mikopo kwa harakà na kupanua tax base.
This is the good practice nchi nyingi duniani.
Vinginevyo; kutakuwa na barabara, SGR na umeme then wananchi watabaki watazamaji tu.