Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Sera za kuongeza mdege tano. Yaani hapo kajitahidi kubadili upepo wa kampeni.😀😀
Kama tuna uhakika kwa soko la nje kwa high value crops kama mbogamboga, matunda hali kàdhalika minofu ya nyama na samaki; iko haja kuwa na ndege za mizigo kwa masoko ya mashariki ya kati na Ulaya.

Niweke wazi tu ili kuwa na kumbukumbu sawa, serikali kununua ndege, kujenga SGR, barabara na Nyerere Hydropower Dam, lazima iwekeze kwa watu wake kwa kutoa mikopo ya uwekezaji (investment project financing) kwenye agro-processing/manufacturing ili kufanya uzalishaji utumia umeme na miundombinu ili kurehesha fedha za mikopo kwa harakà na kupanua tax base.

This is the good practice nchi nyingi duniani.

Vinginevyo; kutakuwa na barabara, SGR na umeme then wananchi watabaki watazamaji tu.
 
hata US hakuna ajira
Usitupigie makelele wewe!

Hiyo US isiyo na ajira labda ya chato! si nimesikia siku hizi mmezindua marekani ya chato Heheheee...

Wewe kubali tu baba yako kaajiri watu wawili kwa kipindi chote cha miaka sita!

Kukubali udhaifu ni njia ya kujirekebisha!
 
Ndugu meneja kampeni wa Tundu Lissu, napenda kukumbusha ya kuwa ile hotuba ya Tundu Lissu siku ya pili Kawe ilikuwa nzuri na watu wengi waliipokea vizuri sana , Hivyo nakushauri kuwa Tundu Lissu aendelee kuzungumzia.

1, Vitambulisho vya machinga
2, Wafanyakazi waliofukuzwa kinyama bila malipo kwa kigezo cha et hawana vyeti ,
3, Kuzuiliwa kwa pesa zao zilizoko kwenye mifuko ya jamii, ,
4, kukosekana kwa ajira kwa vijana
5, Nyongeza ya mishahara
Pia achana kuongelea korona kabisa ukifanikiwa kuzungumza mambo haya pote unapokuwa jamii yote utakuwa umeigusa na utapata kura za kutosha sana maana watu bado wana maumivu sana na mambo hayo matano hapo juu.
 
20200901_21152154067.jpg


My Take
Magufuli atawaambia nini warumishi
 
Bila shaka wamekusikia. CHADEMA kama wana akili inabidi waweke mtu atakayekua anafuatilia maoni kama haya mitandaoni na kupeleka mrejesho.
 
Kwanini asiongee kuhusu corona? ungefafanua.
Nashangaa kwann asiongee kuhusu corona wakati mwanzo ilikua point yake kubwa..kuwa corona ipo na Watanzania wanakufa sana.

Now hawezi ku-address tena hii issue sababu ya kampeni..hvyo ameona acha corona iendelee kutuuwa huku akinadi sera zake.


#Magufuli2020
 
Nashangaa kwann asiongee kuhusu corona wakati mwanzo ilikua point yake kubwa..kuwa corona ipo na Watanzania wanakufa sana..
Now hawezi ku-address tena hii issue sababu ya kampeni..hvyo ameona acha corona iendelee kutuuwa huku akinadi sera zake.


#Magufuli2020
Ndio hapo nimeshindwa kumuelewa.
 
Nashangaa kwann asiongee kuhusu corona wakati mwanzo ilikua point yake kubwa..kuwa corona ipo na Watanzania wanakufa sana..
Now hawezi ku-address tena hii issue sababu ya kampeni..hvyo ameona acha corona iendelee kutuuwa huku akinadi sera zake.


#Magufuli2020
Sasa hivi ni mwendo wa kufafanua ILANI ya chama na si porojo zako unazoleta na ubongo wako uliovia.
 
Nawashangaa sana wakurugenzi wa uchaguzi kuibeba ccm hali ikishinda kuna hati hati ya watumishi kukopwa mishahara baada ya ukata sababu ya kampeni na kuambiwa mwenye kutaka afanye kazi asiyetaka aache kusubiria hadi hali owe nzuri ili walipwe mishahara, kikokotoo kinaanza tumika mwakani,itakuwa ukistaafu hadi miaka 60 ukifa kabla ndo imetoka hio
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.

- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao. Big point here Baba.

In General leo sasa umeongea kama Rais.

Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.

====
Magufuli kasema anayoyaahidi Tundu Lissu hayatekelezeki.

Ndio maana magufuli ameachagua kuwa rais wa miundombinu tu. Nyie mseme msemavyo ila yeye ataendelea kujenga na kubomoa tu
 
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja anatumbia serikali ya awamu ya 5 imeimarisha hali za maisha ya watu
Leo bwana MEMBE alifanya hichi kitu japo yeye alitaja pesa kubwa zaidi ya hii. Nakajua kumbe hata wagombea wetu huwa wanapitia maoni yetu.

Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 
Sera ya mgombea urais wa CHADEMA kusema ataboresha maisha ya watanzania halafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na CCM ya Magufuli aache kabisa.

Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi?

Lissu acha kupotosha watu na jana Mwanza umekosea sana kuponda ujenzi wa daraja la Furahisha na meli mpya ziwa Victoria na wana Mwanza tutakuonesha kazi kwa kukunyima kura zote October.
 
Hahahaha LUMUMBA KICHWAN NI MATOPE.

T.LISSU SIO TAJIRI , Angeendesha kampeni bila ilo ,Alijua mtasema " Anapata wapi hela??huyu anafadhiliwa na mabeberu"

Akaamua kua Muombaji msaada ili kuwapoteza maboya kama nyinyi " Mabeberu?? Mbona anaomba msaada?kwann wasimsaidie?"".

KWA LUGHA NYINGINE, KWA KUFANYA IVI, ANAENDELEA KUWAONDOLEA WANANCHI MTAZAMO MLOWAJENGEA WA ET "ANAFADHILIWA", BADALA YAKE SASA, WANANCHI WANAJIKUTA WANAENDELEA KUMUONA LISSU KAMA MTU ANAYEONEWA, KUSINGIZIWA, NDIO MAANA HATA KAMPENI WANAMCHANGIA.

Mabeberu ndio sisi wananchi Tunaochanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom