Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000 . Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000 . Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.
Kwa hiyo wewe unaona afadhali Wachina wapewe kuliko wa Tanzania (wazawa)? You are a sale-out
 
Kamanda Asiyechoka,

"Eleza jinsi wachina wanavyopewa kandarasi ambazo hata wazawa wanaweza kuzifanya, sasa mzunguko wa pesa haupo, sababu wakilipwa pesa zinaenda China. Ila wazawa hawapewi hizi kazi wakati wanao huo uwezo kuzifanya."
 
"Eleza jinsi wachina wanavyopewa kandarasi ambazo hata wazawa wanaweza kuzifanya,sasa mzunguko wa pesa haupo,sababu wakilipwa pesa zinaenda China. Ila wazawa hawapewi hizi kazi wakati wanao huo uwezo kuzifanya."
Mfano mdogo tu ni mradi wa DMDP, umeboresha barabara za mitaani Temeke. Mitaa ya uswahilini kama Yombo. Hizi ni za kumpa mchina ajenge badala ya mzawa?

Majengo mengi tu ya vituo vya afya yanajengwa na wachina. Unadhani mzawa hawezi kufanya hii kazi? Kisa ni ghorofa moja au mbili?

Pesa hizi zinalipwa wachina zinabaki hapa Tz?
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000 . Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000 . Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.
Yote haya yamefanyika chini ya usimamizi wa Serikali dhaifu, dhalimu, za kijambazi, za CCM miaka yote. SASA CCM imebadilika lini? Huko tayari kwa lipi? Mbona unajikanyaga kijinga? Ondoa liCCM madarakani likafe Kama KANU tuingize new mentality and new philosophy.
 
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefunga biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.

Kama JPM amedhibiti bei ambazo watu walikuwa wanajipangia anashindwa vipi kuangalia manunuzi yafanyike kwa uhalali hivi sasa?
Mama lishe gani ambae yuko hoi? Maana sikuiziii umeona mgambo wa kumwaga vyakula vya mama lishee??? Mama lishe sikuizi wanapika vyakula adi barabarani, wala hakuna wakuwaulizia ata kidogo. Acha uvivuuu fanya kaziiii.
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000 . Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000 . Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.

Wewe endelea kutafakari. Kwani madiri unayoyasema mjomba wako Magu si ndiyo amayapaisha maradufu! Uwanja wa Chato siyo dili? Mayanga constructors siyo dili! Upotevu wa 1.5 trioni (sasa ni 2.4 trioni) siyo dili? Jesca kuwa DAS siyo upendeleo Kama zamani? Mawaziri wengi kutoka Geita siyo upendeleo? Mtoto wa Dada kuwa Paymaster General je? nk. nk. Kichwa chako kisiwe mzigo , kifikirishe. Wewe unasifu mambo ya kitoto ya mamalishe kuuza bagia na chai barabarani??!! Hivyo una akili wewe. Ndiyo kuendesha nchi hivyo? . Tatizo ni system zima imeoza. Futa hii Serikali tuanze upya. CCM imeshindwa na Magu wako ameiharibu zaidi.
 
Mama lishe gani ambae yuko hoi? Maana sikuiziii umeona mgambo wa kumwaga vyakula vya mama lishee??? Mama lishe sikuizi wanapika vyakula adi barabarani, wala hakuna wakuwaulizia ata kidogo. Acha uvivuuu fanya kaziiii.

Kwani bado baba yako anafanya ufisadii?? Kwani bado mama yako anauza chai kwenye ofisi ile aliko ajiriwa kikombe cha chai yangi tsh 5000? Kwani bado kaka yako anaendesha kampuni feki??
Nani mmiliki wa mayanga contractors
 
Wewe endelea kutafakari. Kwani madiri unayoyasema mjomba wako Magu so ndiyo amayapaisha maradufu! Uwanja wa Chato siyo dili? Mayanga constructors siyo dili! Upotevu wa 1.5 trioni (sasa ni 2.4 trioni) siyo dili? Jesca kuwa DAS siyo upendeleo Kama zamani? Mawaziri wengi kutoka Geita siyo upendeleo? Mtoto wa Dada kuwa Paymaster General je? nk. nk. Kichwa chako kisiwe mzigo , kifikirishe. Tatizo ni system zima imeoza. Futa hii Serikali tuanze upya.

Uwanja wa chato ni wa Watanzania wote hata wewe utatumia. Hiyo tirion 1.5 ilikuwa kiki ya zito kabwe ambayo imeshabumaa. Na yule mchezesha igizo la hizo tirion, amesha timuliwaaa. Kwa jpm hakuna madili tena, kwani yangekuwepo msingelilia mitandaoniiii.
 
Mwenye uchi siku zote huwa na papara,ndio maana hata wakijiunga na wenzao wao ndio hutaka top layer kwanza.
 
Ukitaka kujua Tundu lissu ni mgombea wa hovyo na anawakatisha tamaa bavicha,ni jinsi miongozo,ushauri na maelekezo yalivyo mengi humu kuliko kuwahi kutolewa kwa mgombea yoyote.

Inaonekana Tundu Lissu anatoka nyumbani amepanga kabisa kuongelea sera, lakini kwa kuwa hana sifa za urais, akifika jukwaani anapotea, anapandisha hasira anaanza kuelezea risasi na uwanja wa Chato.

Watu wanataka ugali yeye anaelezea uwanja wa Chato, kana kwamba chato sio Tanzania.
 
Safi kabisaa, kwnz uelewe kwmb mafisadi hawahatarishi usalama wa taifa letu, ila hao wengine wote uliowataja walikuwa kiruc kwa Nchi yetu ndo maana wale ambao wamepata bahati ya kuwekwa mahabusu wapo huko. Ila hao wengine hutokuja uwaone kwa sababu hawajapotea kwa bahati mbaya. Hata hao wa kwny viroba tuliamua kuwahifadhi kwa njia hiyo ili Tz iendelee kubaki salama,, haya mambo yanafanyika nchi nyingi sana siyo tu hapa kwetu kwa watu ambao ni hatar kwa usalama wa taifa.Ila kwa sababu huyajui haya mambo, utaishia kupiga kelele tu kaka lkn serikali itaendelea kuchkua hatua stahk ili wewe na familia yko muendelee kuwa salama.
Hatari sana kwamba Mafisadi hawahatarishi usalama wa nchi?
 
Back
Top Bottom