Yaani mambo yote hapo hayazungumzii mkataba, bali yanazungumzia watu waliozungumzia mkataba!
“Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people”
 
..nadhani Bakwata, TEC, KKKT, waliokwenda kumuona Raisi wana viwango tofauti vya subira.

..naamini TEC wametoa tamko kwasababu wamechoka kusubiri, na wameona muelekeo wa Raisi na serikali ni kupuuza ushauri waliompa.
 
Mt 11:12 SUV

"Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka."

[emoji115] Usisahau kumwambia Zitto na wadini wenzako haya Maandiko Matakatifu kutoka kwenye Biblia.
 
Umeandika historia ndefu irrelevant ambayo haijibu hoja za waraka wa maaskofu na wala hauelezi uzuri au ubaya wa mkataba, lakini mwisho unakiri mapungufu ndani ya baadhi ya vifungu vya mkataba!

Hoja yako hapa ni nini!
 
Ninauhakika hili bandiko lako umewalenga wapumbavu ndio wakuelewe ulicho andika humu.
 
Kama namuona Marehem magufuli anavyo tucheka na familia yake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sorry kiongozi nimeelekeza kwako kimakosa, nimemruka mlengwa

Usijali mkuu. Vitani huitwa friendly fire. Hasa hasa kwenye majeshi ya mabeberu, inapo wakuta wakawashana wao kwa wao, regrettably kama ilivyo.
 
QUOTE="Lupweko, post: 47568235, member: 14729"]
Nadhani Askofu Shoo umemnukuu vitu vichache na vingine hukupenda vionekane kama alisema. Mimi nimemsikia akisema, "tutashauri na tutakemea, na ikifikia hapo msiseme tunachanganya dini na siasa"
Labda nikuulize, hicho kipande umekisikia au la?
[/QUOTE]. Mchumia tumbo huyu
 
Kuingia mkumbo wa propaganda against Kanisa ni laana. Maaskofu 37 kutoa waraka serious kama ule alafu unafanya mzaha majibu utayapata kwa haraka zaidi. Mzaha fanyeni kwenye siasa zenu!
 
Yaweza kuwa hivyo unayosema kwa mfano huo.

Sasa huyo Paulo kasikia kuwa, kitendo cha Asha kukawia kuwaita ili atoe majibu kutoka kwa wataalamu kama alivyo ahidi katika kikao cha ushauri, badala yake kayapeleka mambo hayo "katani" kimya kimya ili kuwashawishi kwa hila wajumbe wa halmashauri ya kijiji wabadili sheria zilizopo zinazozuia biashara ya bajaji ili aweze kupitisha mkataba kimya kimya na biashara iendelee bila ya kuwashirikisha tena ndugu zake!

Baada ya kugundua hila hiyo, Paulo kaona kumbe huyu sister siyo, katuzunguka, sasa kamwaga ugali na sisi tunamwaga mboga!

Lakini yote kwa yote, mfano huo haujabeba context sahihi kwa hoja hii ambayo imeleta msuguano mkubwa katika nchi yetu.
 
Hakuna mtu mwenye misuli ya kuharibu amani na kuligawa taifa . Hii kauli mbona inatofautiana na IGP anayesema Kuna wahaini ??
 
Hili Gazeti linaitwaje? 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
. Mchumia tumbo huyu[/QUOTE]

Yes alisema hivyo ndio.Wala hajakosea Askofu shoo,wenye hekima tuliona hili
 
Ulipoweka neno Komredi tu Uzi wote umekuwa Rwsidue.

Yaani Rubbish
 
Bandiko Reeefu.

Nilitegemea ukipangua hoja baada ya hoja za TEF.

Wewe na komredi mmeonesha kuwa Vs zile PHD na Doctorates za TEF ni mbingu na aedhi
 
Usijali mkuu. Vitani huitwa friendly fire. Has hasa kwenye majeshi ya mabeberu, inapo wakuta wakawashana wao kwa wao, regrettably kama ilivyo.

Nashukur kwa uelewa wako na moyo wako ulio thabiti. Barikiwa sana kiongozi, once again am so sorry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…