Kanisa Katoliki ndilo lililoondoa Utumwa Tanzania Bara na Visiwani.
Hata Sasa kanisa haliwezi kukaa kimya wakati nchi yenye wasomi WENGI ikiwa unauzwa Kwa kundi lililojipa Jina la DPW.

Tatizo ni Rais mwenyewe kushindwa kuwasimamia aliowateua.

Rais sio mtaalamu Wa Sheria Wala uchumi Wala mipango Wala usalama Wala sayansi. Ni mwanasiasa ámbaye ameingia kwenye Nafasi ya juu kabisa pasipo kuchaguliwa Bali kikatiba Hivyo alinde Katiba mpaka 2025 atakapoomba ridhaa Kwa Watanganyika na Wazanizibari Ili aeleze maono yake sio ya akina Mkumbo na akina Kitenge na stive Nyerere ,Zembwela na Mpoto.

Hata Huko Uarabuni wameweza Kwa sababu ya uongozi imara na Sheria Kali sio Sanaa na nyimbo za kuremba na kusifia huku majizi yakiwa yanaiba .

Mkataba umeingiza Udini Kwa kiwango Cha Juu sana. Na wanaoandamwa ni wakristo wanaopinga Kwa hoja na vifungu. Lakini wale wanaopinga kidini Kwa mistari ya Biblia na itikadi za kidini wakijipambanua Kama waislam Hawana hoja ya kisheria zaidi ya Udini Kwa vitabu vya dini.

Udini ni kutumia vitabu vya dini kuzungumzia masuala ya nchi isiyo na Dini.

Kamati ya Amani na baadhi ya Waislam wanatumia Udini kuzungumzia masuala ya Kitaifa baadala ya Sheria za nchi na Katiba ya nchi.


Kikwete ametumia Udini kuzungumzia masuala ya Kitaifa badala ya Sheria za nchi na Katiba ya Nchi.



KANISA KATOLIKI NDILO PEKEE LILILOJIEPUSHA NA UDINI KATIKA KUJADILI MASUALA YA KITAIFA KWENYE NCHI ISIYO FUNGAMANA NA DINI YOYOTE KWA SABABU KWENYE WARAKA WA WAO WAMEONYESHA MAPUNGUFU YA KIKATIBA NA KISHERIA BADALA YA KUONYESHA MISTARI YA BIBLIA .

DINI NYINGINE ZOTE ZIMEGUBIKWA NA UDINI WAKIWEMO WALE WANAOTUMIA MISTARI YA BIBLIA AU MAHABA YA DINI ZAO KWA LENGO LA KUWAHADAA NA KUWACHONGANISHA WATANZANIA.

NENO TIINI MAMLAKA HALIPO ILIYOWEK A NA MUNGU SIO LA KIKATIBA WALA KISHERIA .

NI MASUALA YA KIROHO NA KIDINI.

KUCHANGAYA SIASA NA DINI NU PALE AMBAPO WAFIA DINI NA MASALAHI YA KISIASA WANAPOTUMIA MISAHAFU KUHUJUMU TAIFA BADALA YA KUTUMIA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI.

WEZI WA MALI ZA UMMA WANAIBA NA KUPELEKA KWENYE NYUMBA ZA IBADA KWA MALENGO YA KISIASA NA SIO SADAKA KWA MUNGU.

CCM na Serikali yake acheni Udini na kuwatumia vitabu vya dini KUWACHONGANISHA na kuwapumbaza watanzania .
Tumieni Ilani ya Chama na Kariba ya chama na Katiba ya nchi inayojipambanua Kama Nchi ya kijamaa isiyoruhusu MTU moja kumnyonya Mwingine .
Ardhi Yetu ya watu mil. 61 mnawauzia watu wasiozidi 100 halafu wajukuu na Watoto Wetu wataishi wapi kama SIO mikakati ya kuwafanya watumwa na kuwaua na kuwafanya mashoga Ili watoto wenu wakaishi Dubai na Matajiri Wa Dunia Kama lililovyolengo la Waovu na mashetani waliojivika maumbo na miili ya binadamu.

Dini ZOTE zinapinga dhulma ,rushwa ,uzinzi, ufisadi, kuwaonea wanyonge ,Wizi Wa kura , kiburi, dharau na ulevi ,uchawi ,uongo na uuaji.!! Je,nyie Wanasiasa na mamluki wenu mmeacha hayo maovu yanayokatazwa kwenye vitabu vyote vya dini. ?


Mkataba Wa DPW una mapungufu yanayoshabikiwa kidini BADALA ya Sheria. Serikali inatumia Dini na mistari ya vitabu vya dini hasa biblia SIO Quran kupumbaza watu. Wanajua wakristo WASIOJUA Hilo za Shetani wanadanganyika Kwa wepesi.
Sasa wamejitokeza wenye Elimu na walioleta mwanga Wa ELIMU rasmi yaani Kanisa Katoliki na kupambanua madhaifu ya mkataba bila kuchanganya Dini na siasa,wamesimama Kwenye mkataba wenyewe ,Sheria za nchi na Kariba ya nchi.

Watanzania Wote tunaoamini Katika Haki na usawa tunapinga nchi Yetu Kuwa shamba la Bibi Kwa faida Vizazi vijavyo.

Mh.Rais asimamie mapato ya nchi Kwa Karibu na asiwaonee aibu wale aliowateua kwani ni wazoefu Wa ubadhirifu . JPM hakua mjinga alipokua anawafukuza na kuteua damu Mpya Hata kama SIO damu changa.
Mawaziri waliopo ni watu waliozoea Kupiga mabiloni ya pesa . Ni watu ambai Milioni mía kwao sio ishu Tena . Ni hela ya kwenda kupumzika Siku mbili Dubai. Watu Wa aina hiyo ama wanafukuzwa au wanasimamiwa Kwa mtutu Wa Bunduki.


ENYI Kizazi cha Rushwa, MNASIMAMIA WATOTO WA DARASA LA NNE KWA MTUTU WA BUNDUKI ILI WASIANGALIZIANE KWANYE MITIHANI LAKINI WEZI WA MALI ZA UMMA MNAWAPIGIA VIGELEGELE NA NYIMBO ZA SHWANGWE NA SALUTI NA MATARUMBETA.
 
Watu wakienda mahakamani mnawaita wahaini, wakitoa waraka mnawaita wadini kisa tu mumpe DP bandari halafu kesho mje kulia.
 
Kisu kimekuta mfupa, hiyo ndio tabia halisi ya ukweli, unauma sana. TEC unganisheni na ya mzee wa upako, mezeni huo ukweli mchungu nchi isonge mbele.
 
Hivi Watanganyika kweli TUMESHINDWA kuiendesha Bandari??Maana Bandari haihitaji mtaji wowote Zaidi ya Customer Care na ujuzi Kidogo tuu,,Sasa Kama tunawapa Watu watuendeshee Bandari Sisi tutaweza kitu Gani??? Bila aibu Kuna Watu wanaamini Kuwa eti hatuwezi kusimamia Bandari kwasababu Sisi ni wezi,, seriously??,kwanini tutoe urithi wetu??Wao wamewezaje??waliwezaje??Tuache kujidharau Pia tuwe na Long time plans za Maisha.Kuna wajinga jinga wanamsifia Mwarabu, unamjua Mwarabu Wewe???Achana na Mawazo ya Dini Mimi siongelei Mwarabu Dini naongelea Mwarabu mfanyabiashara.Maana Kuna wajinga wanaingiza masuala ya biashara na Dini Sijui Ni kukosa ufahamu Au wanofanya makusudi..Hakuna Mwarabu mfanya Biashara Anaweza akakuletea faida!!!Rais Samia Achana Na ubinafsishaji wa Bandari tujengee uwezo wazawa.Tunaweza na tunauwezo Huo.
 
Katika shughuli zozote za kibiashara na kiuchumi , Ntu unatakiwa kuangalia faida na hasara za kuchukua njia Fulani. Mfano uwekezaji WA mgeni iwe mzungu au mwarabu au Muhindi. Moja ya shida iliyopo ni matatizo ya tamaduni, pili la madaraka Kwa lugha nyepesi ubaguzi , lugha nk.
Sasa ukitilia maanani sasa hivi tunaona matatizo mfano yaliokuwepo Zanzibar wakati WA Utawala WA Sultan, mpaka ikabidi wafanye mapinduzi matukufu ili waafrika nao waonekane watu, ni wazi na Sisi huku bara au Tanganyika watu watakuwa wanajiuliza hili Jambo tutakabiliana Bali vipi ikiwa hata sasa kuna viashiria vya mwenye nguvu mpishe. Sasa Akina huyo DP weldi itakuwaje , ikiwa Mwana siasa au kiongozi abanguvu kuliko polisi au Mkuu wa polisi na mahakama zetu rejea Yule kiongozi aliye chana hukumu ya Jaji Meta , au hata hii hukumu ya Juzi Mbeya ya kuogopa kuingilia Mihimili mwingine. . Basi ni vizuri Kwanza tukajiimarisha Sisi wenyewe katika nidhamu ya Kuishi Sisi wenyewe Kwanza na kuheshimiana ndipo MTU WA nje akija Naye atatuheshimu na tutaweza kukabikiana vizuri na shida za tofauti za kitamaduni. Mahakama kuheshimiana na Mihimili mingine, polisi kuheshimiana na wanasiasa nk
 
Eti padre Kitime? Are you sure ume dig more??
 
Anaitwa Padre, Dr Charles Kitima, kutoka Singida
 
Sio Lazima sauti ya watu ndio iwe sauti ya Mungu. Historia na Biblia inatuonyesha, Mungu hufanya kazi na kundi dogo tu sio wengi.
 
Yaani kama ulichoandika ni kweli sioni namna sasha kufanya tofauti na TEC/ROMA wanachokitaka.

Rumors has it that, hata jfk kule dalas aliliwa kichwa kwakuwa alipingana na ROMA.
 
Rais kasema amekaa kimya.
Ni kuwa mchakato uko palepale sie tupige kelele yeye yupo kimya na hakuna mwenye mabavu ya kuuza nchi au kuvuruga amani ya nchi.
Kwani kusema "yuko kimya" maana yake ni kusema watu wasitoe maoni yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…